Chadema na dharau kwa amri ya mahakama.

tumewabamba hatujawabamba???tumewa
bamba!!!tena kinooooma."mtataga".

mkuu acha vituko. Asante kwa kuonesha mmetubamba kwa kukahidi agizo la mahakama.
 
Umeeleza vizuri sana, lakini sidhani kama Ruttashobolwa atakubaliana na wewe !

Mwanzoni nilifikiri haelewi nami nikabishana naye kwa posts kadhaa....baadaye nikaconclude kwamba hataki kuelewa kwa makusudi !

Hii kitu iko wazi na very intuitive wala haina haja ya kutafuta mtaalamu wa sheria akutafsirie.
 
Ukiwa na chama kama CHADEMA huweki kiamini ukakipa dola....hawana msimamo
 
Nyie zitto team ni mambumbu
mbu kama yeye.

Dai la zitto kwenye avidati yake aliyowasilisha mahakama ni hofu ya kuvuliwa unachamana na cc hawazi kuwa na dai jipya zaidi ya hapo.
Ambapo kiukweli hakukuwa na hoja ya kujadili juu ya kuvuliwa uwanachama wake au la.

Lakini cc haikuzuiwa kujadili juu ya washiriki wake wakina Mwigamba na Kitila.

katika njia moja au nyingine bila kiadhiri kuvuliwa uwanachama wake ilikuwa lazima ajadiliwe kama mshiriki wa waraka ule uliomuhusu yeye na ndicho alichokisema LISSU na DR. Slaa.
 


Endelea na kunukuu mpaka wataja kunukuu na wewe mwenyewe ila mkae mkijua mtu wenu huyo Zito ndiyo kafyekwa miguu,mkitaka na kama mnampenda kweli mchukue ili tuje kushuhudia mnavyoweza kwenda naye na siasa zake za Usaliti-kama hataishia Kum-Kolimba.
 
Last edited by a moderator:

Uanachama wa Zitto ulishajadiliwa kitambo yeye alitakiwa ajieleleze kwa nini asifukuzwe kutokana na ule waraka. Zuio la mahakama ni kama lilikuwa obsolete kutokana na makosa ya kiufundi kwani kimsingi uanachama wake ulishajadiliwa ilikuwa imebaki hukumu baada ya utetezi wa Zitto.
Kuzuia wanachadema kuhudhuria mikutano ya Zitto kutokana na tuhuma alizonazo si kosa chama lazima kichukue hatua za kujilinda na kulinda wanachama wake wasipotoshwe nje au ndani ya chama.
 
inawezekanaje mtu awekewe kikwazo hichi na aendelee kuwa mwana chama?

Hivi baba akisema hakuna kuongea kwa niaba ya familia kutokana na tabia ya kuropoka bila nidhamu... ina maana umekoma kuwa mtoto wa familia...?? Hasa ukizingatia mtoto mwenyewe sio first born; ni mtoto kama wa tatu au wa nne hivi...

Labda wataalamu wa sheria na maswala ya utawala wa siasa watusaidie..
 

Achana na hili gamba sugu,linamboyoyoka tu na mboyoyo ziso mashiko kwa uelewa finyu kipimo cha kichwa cha samaki."NI HIVI VICHWA VYA SAMAKI ALIVYOVISEMA Mh.Karume ndivyo vilivyokuwa vinalishadadia suala la wasaliti ndani ya chadema,hawawezi katu kujadili juu ya lichama lao la kijani lililozidiwa na majanga hadi kutuangamizia TAIFA.Pilipili usiyoila yawawashiani???Kati ya swaga hili walishadadialo na majanga ya ccm ni kipi kiteketeshacho taifa na watu wake?"Haya sasa tunaelekea tamati mliyekuwa mnamdanganya na kumshobokea ndo hayo yashamkuta ya kujitakia nanyi mwaweweseka.@"MABADILIKO NI LAZIMA".
 
endelea na kunukuu mpaka wataja kunukuu na wewe mwenyewe ila mkae mkijua mtu wenu huyo zito ndiyo kafyekwa miguu,mkitaka na kama mnampenda kweli mchukue ili tuje kushuhudia mnavyoweza kwenda naye na siasa zake za usaliti-kama hataishia kum-kolimba.

mkuu asante kwa kuonesha na wewe umeungana nami kukubali kuwa chadema wameidharau mahakama.
 
threat imedhihirisha mwandishi ni div 5 hoja ya mhe Tundu lissu haiwezi akitafakari ataishia kuchora zombi chezea u div 5 kajizua angeendelea kutafakari hoja ya Mwanasheria angemchora zombi chezea mulugo type
 
Ukiwa na chama kama CHADEMA huweki kiamini ukakipa dola....hawana msimamo

Unachekesha!!!Kisa nyie mmeshindwa kuvuana magamba sasa mwaona wiiiivu."KINACHOSTAHILI KUPEWA DOLA NI KILE KINACHOSEMA TUKISHIKA WAIZI NCHI ITAYUMBA".majanga.
 
Kesho wameisha, hawawezi kuendelea kudharau Katiba ya Nchi na amri ya mahakama

Nyinyi ndio wale ambao ukisikia mtu anacheka bila kuliza kulikoni na wewe unaanza kucheka tena kumshinda aliyeaza kucheka na hujui kwanini acheke, nafikiri pia na uvivu wakusoma habari unakusumbua, zzk bado ni mbunge na mwanachama wa chadema soma vizuri uelewe kilichoandikwa usikurupuke tu kama alshabab
 

Teh,teh,teh!!!Hii ndiyo mizinga aliyokuwa amejiandaa nayo???Ama kweki msaliti ni msaliti tu.
 
mkuu asante kwa kuonesha na wewe umeungana nami kukubali kuwa chadema wameidharau mahakama.

Hata nynyi ssm najua mnampigia debe zito tu, ila mkiambiwa aje kwenu hata nyinyi hamtamtaka watu wenye upeo wa mbali hawawezi kumchukua mtu ambaye anauchu wa madaraka kila kukicha, huyo siasa ndio inaelekea mwisho sasa.
 

Achana na hili gamba sugu,linamboyoyoka tu na mboyoyo ziso mashiko kwa uelewa finyu kipimo cha kichwa cha samaki."NI HIVI VICHWA VYA SAMAKI ALIVYOVISEMA Mh.Karume ndivyo vilivyokuwa vinalishadadia suala la wasaliti ndani ya chadema,hawawezi katu kujadili juu ya lichama lao la kijani lililozidiwa na majanga hadi kutuangamizia TAIFA.Pilipili usiyoila yawawashiani???Kati ya swaga hili walishadadialo na majanga ya ccm ni kipi kiteketeshacho taifa na watu wake?"Haya sasa tunaelekea tamati mliyekuwa mnamdanganya na kumshobokea ndo hayo yashamkuta ya kujitakia nanyi mwaweweseka.@"MABADILIKO NI LAZIMA".
 
mkuu acha vituko. Asante kwa kuonesha mmetubamba kwa kukahidi agizo la mahakama.

Kukahidi ndio nini???Hebu niondokee na umburula wako 'kichwa samaki' mkubwa weye,tafuta kazi acha kuishi maisha ya ujanjaujanja na kuungaunga kwa upambe.
 
Kama hauna cha kuandika bora ukalala maana kila siku naona maneno ya namna hii yanajirudiarudia,sasa buku saba inahusiana nini na topic hii au ndo mawazo finyu

Acha hasira magamba tulieni mmeze vidonge vya kutibu ukichaa wenu.
 
Sasa nini kimekuchanganya? Zitto si kaenda pinga uanachama na si kuvuliwa uongozi.Sasa aandae mikutano ya chama km nani?Duh wenge limewazidi...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…