GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 63,685
- 128,178
Chukua ushauri chanya. Mengine achaTangu lini wewe CCM ukatoa ushauri kwa CHADEMA?
Anyway, ushauri wako ni mzuri sana lakini tayari hayo yote yalishafanyika na tupo makini zaidi ya ujuavyo.
Kweli asitumie ngugu nyingi sana atachoka. Kampeni si lelemama ukizingatia ni nchi nzima. Asije akaanza kuumwa kwa uchovu.
Lissu anacheza na "SAIKOLOJIA" ya meku, anajua mzee baba hapendi kukosolewa wala kupingwa kwa maneno makali, anapenda kusifiwa tu. Ukimsukuma kidogo tu meku, hua gari linawaka (anaanza mipasho ya kejeli).
Na meku kawaida yake akikosolewa kidogo tu anashindwa "KUJIZUIA" jazba. Lissu anafanya juhudi kumjaza "UPEPO" mzee baba ili aripuke, na mzee baba huko alipo anajaa upepo kisawasawa moyoni.
Mkuu agiza kitu cha pepsi walahiMshauri mgombea wenu aache ubabe akubali kukosolewa.
Mshaurini awaheshimu na kuwapa nafasi viongozi Wendie asipende wamtetemekee.
Mshaurini ajifunze kiingereza atahojiwa navyombo vya kimataifa Kwa kiinglish.
Mshaurini asitishie wananchi walioamua kuchagua kiongozi wachama pinzani.
Mshaurini asijenge chili na washindani wake na kutumia Dola kuwakandamiza.
Mshaurini asijione wapekee Kuwa hakuna mwingine anayeweza zaidiyake.
Mshaurini maisha yawatu yakizidi Kuwa magumu hata ajenge kitugani hatokubalika.
Mshaurini asikilize sera mbadala kwaumakini maana nchi niyetu sote.
Mshaurini haki huinua taifa hivyo aitende ikiwamo pia uchaguzi Kuwa huru na wazi.
Mwambieni push-up siohoja na kampeni so show za fiesta kujaza wasanii.
Mwambieni Elimu ndiyo ufunguo wa mafanikio, bora isiwe bure Bali iwe bora na watoto lazima wale shuleni
Mwambieni uhuru wetu nifahari yetu hatutaki kiongozi anayetu/wanyima wananchi haki
Huyu unamuonea, huyu ni mpinzani wetu kiitikadi tu lakini katika maisha ya kila siku ni mwenzetu. Kuna wale wasiojua kutenganisha maisha na siasa hao ndiyo Zitto anawaita washamba.Kwanini mlitaka kumwua?Tuanzie hapo