themanhimself176
JF-Expert Member
- Dec 28, 2016
- 1,836
- 2,928
Akikujibu nishtue bruh!Mshauri mgombea wenu aache ubabe akubali kukosolewa.
Mshaurini awaheshimu na kuwapa nafasi viongozi Wendie asipende wamtetemekee.
Mshaurini ajifunze kiingereza atahojiwa navyombo vya kimataifa Kwa kiinglish.
Mshaurini asitishie wananchi walioamua kuchagua kiongozi wachama pinzani.
Mshaurini asijenge chili na washindani wake na kutumia Dola kuwakandamiza.
Mshaurini asijione wapekee Kuwa hakuna mwingine anayeweza zaidiyake.
Mshaurini maisha yawatu yakizidi Kuwa magumu hata ajenge kitugani hatokubalika.
Mshaurini asikilize sera mbadala kwaumakini maana nchi niyetu sote.
Mshaurini haki huinua taifa hivyo aitende ikiwamo pia uchaguzi Kuwa huru na wazi.
Mwambieni push-up siohoja na kampeni so show za fiesta kujaza wasanii.
Mwambieni Elimu ndiyo ufunguo wa mafanikio, bora isiwe bure Bali iwe bora na watoto lazima wale shuleni
Mwambieni uhuru wetu nifahari yetu hatutaki kiongozi anayetu/wanyima wananchi haki
Hii point yako ya mwisho juu ya ule ugonjwa wake huu ndiyo muda muafaka wa kumpiga maneno yenye kuumiza ili augue vizuriLissu anacheza na "SAIKOLOJIA" ya meku, anajua mzee baba hapendi kukosolewa wala kupingwa kwa maneno makali, anapenda kusifiwa tu. Hivyo anatumia juhudi kumsugua roho na dodoki la steel wire. Ukimsukuma kidogo tu meku, hua gari linawaka (anaanza mipasho ya kejeli).
Na meku kawaida yake akikosolewa kidogo tu anashindwa "KUJIZUIA" jazba. Lissu anafanya juhudi kumjaza "UPEPO" mzee baba ili aripuke, na mzee baba huko alipo anajaa upepo kisawasawa moyoni (hii itamletea madhara makubwa sana meku kwasababu ya ule ugonjwa wake alionao kiafya).
Upo sahihi.Lissu anacheza na "SAIKOLOJIA" ya meku, anajua mzee baba hapendi kukosolewa wala kupingwa kwa maneno makali, anapenda kusifiwa tu. Hivyo anatumia juhudi kumsugua roho na dodoki la steel wire. Ukimsukuma kidogo tu meku, hua gari linawaka (anaanza mipasho ya kejeli).
Na meku kawaida yake akikosolewa kidogo tu anashindwa "KUJIZUIA" jazba. Lissu anafanya juhudi kumjaza "UPEPO" mzee baba ili aripuke, na mzee baba huko alipo anajaa upepo kisawasawa moyoni (hii itamletea madhara makubwa sana meku kwasababu ya ule ugonjwa wake alionao kiafya).
Akikujibu nishtue bruh!
Hilo la kuwaangalia wana usalama wake nimelielewa zaidi, wakati mwingine anaonekana kujisahau anadhani yuko kivyake tu, kwa hili Lissu awe makini.
Ila kauli anazotumia nazipenda, wacha ujumbe ufike unapotakiwa, huyo anaelengwa "akinuna" shauri yake.
Naona huu uzi ni kama "code" fulani hivi. Ujumbe mahsusi aliotaka kuufikisha GENTA umefungwa vizuuri katika points mbili tu, point number 3 and 5. Kuna ujumbe mzito sana hapo, kwamba Lisu asiamini hata kivuli chake. Maneno mengine ni kifungashio cha ujumbe husika. Aliesikia na asikie
Tutasikia amekimbikzwa tena South Africa au German kwa matibabu.Hii point yako ya mwisho juu ya ule ugonjwa wake huu ndiyo muda muafaka wa kumpiga maneno yenye kuumiza ili augue vizuri
Sawa ila mwambieni aende taratibu kwani kuna tofauti kubwa kati ya anayesubiria Ndege JNIA na anayesubiria Basi la Mikoani Ubungo Terminal.
Point number 7 ni sahihi sana. Nililiona hilo mapema sana na nikapendekeza kuwe na "JOPO" la washauri ili wamjenge awe kisera zaidi. Hata hivyo, kibinadamu kwa mambo yaliyomkuta hata ingekuwa wewe Genta, ni vigumu kuyasahau na utajikuta sometimes ukikumbukiza.Niliamua Kiumakini kabisa kutenga muda wangu na kumuangalia kwa Jicho langu la Tatu Mgombea wenu wa Urais Mtani wangu kutoka Singida Mheshimiwa Tundu Antipasi Lissu na hatimaye nikajikuta 'nagundua' mambo kadhaa ambayo kwa nia njema tu kama Watani na Marafiki zangu nitawaomba muyasome, muyatafakari, muyafanyie Kazi na ikiwapenda anzeni 'Utekelezaji' wake
1. Mshaurini Tundu Lissu asitumie nguvu nyingi sana katika Kuongea kwani atachoka upesi mbele ya Safari Kampeni zikianza.
2. Mshaurini Tundu Lissu kuwa tunajua ya kwamba ana Hasira na 'Maadui' zake ila apunguze mno Kuhutubia kwa Kufoka atachoka.
3. Mshaurini Tundu Lissu kuwa akiwa anageuka wakati akihutubia asiwe anageuka 'Kishamba' kama Meli za Bandarini bali ageuke Kihotuba.
4. Mshaurini Tundu Lissu kuwa 99% ya Maongezi yake yawe ni kuhusu tu 'Issues' na siyo ajikite katika 'Personalities' kama sasa.
5. Mshaurini Tundu Lissu kuwa pamoja na kwamba anakuwa 'anahutubia' ila pia awe anawaangalia wana Usalama wake Kiumakini.
6. Mshaurini Tundu Lissu kuwa kutokana na sasa ameshapata 'Ulemavu' basi hata Kusimama Kwake Kuhutubia Jukwaani kuwe Kiasi.
7. Mshaurini Tundu Lissu kuwa ajitahidi sana maneno yake mengi yawe ni ya 'Kiushawishi' zaidi na siyo ya 'Kiuchochezi' itamponza.
Hakuna Simba bila Yanga na vile vile hakuna CCM yangu bila CHADEMA yenu, hivyo nimeyasema haya kama Upendo wangu Kwenu Watani zangu.
Hatchback amekaaa miaka 3 bila kuo gea na reserve kunwa sana na watanzania kwa miaka Milan hawakupata hii kitu tulia teramycin ikuingieNiliamua Kiumakini kabisa kutenga muda wangu na kumuangalia kwa Jicho langu la Tatu Mgombea wenu wa Urais Mtani wangu kutoka Singida Mheshimiwa Tundu Antipasi Lissu na hatimaye nikajikuta 'nagundua' mambo kadhaa ambayo kwa nia njema tu kama Watani na Marafiki zangu nitawaomba muyasome, muyatafakari, muyafanyie Kazi na ikiwapenda anzeni 'Utekelezaji' wake
1. Mshaurini Tundu Lissu asitumie nguvu nyingi sana katika Kuongea kwani atachoka upesi mbele ya Safari Kampeni zikianza.
2. Mshaurini Tundu Lissu kuwa tunajua ya kwamba ana Hasira na 'Maadui' zake ila apunguze mno Kuhutubia kwa Kufoka atachoka.
3. Mshaurini Tundu Lissu kuwa akiwa anageuka wakati akihutubia asiwe anageuka 'Kishamba' kama Meli za Bandarini bali ageuke Kihotuba.
4. Mshaurini Tundu Lissu kuwa 99% ya Maongezi yake yawe ni kuhusu tu 'Issues' na siyo ajikite katika 'Personalities' kama sasa.
5. Mshaurini Tundu Lissu kuwa pamoja na kwamba anakuwa 'anahutubia' ila pia awe anawaangalia wana Usalama wake Kiumakini.
6. Mshaurini Tundu Lissu kuwa kutokana na sasa ameshapata 'Ulemavu' basi hata Kusimama Kwake Kuhutubia Jukwaani kuwe Kiasi.
7. Mshaurini Tundu Lissu kuwa ajitahidi sana maneno yake mengi yawe ni ya 'Kiushawishi' zaidi na siyo ya 'Kiuchochezi' itamponza.
Hakuna Simba bila Yanga na vile vile hakuna CCM yangu bila CHADEMA yenu, hivyo nimeyasema haya kama Upendo wangu Kwenu Watani zangu.
Ulipomalizia ndio umeharibu na kuonekana na wewe ni miongoni mwa walewaleLissu anacheza na "SAIKOLOJIA" ya meku, anajua mzee baba hapendi kukosolewa wala kupingwa kwa maneno makali, anapenda kusifiwa tu. Hivyo anatumia juhudi kumsugua roho na dodoki la steel wire. Ukimsukuma kidogo tu meku, hua gari linawaka (anaanza mipasho ya kejeli).
Na meku kawaida yake akikosolewa kidogo tu anashindwa "KUJIZUIA" jazba. Lissu anafanya juhudi kumjaza "UPEPO" mzee baba ili aripuke, na mzee baba huko alipo anajaa upepo kisawasawa moyoni (hii itamletea madhara makubwa sana meku kwasababu ya ule ugonjwa wake alionao kiafya - mara pap tutasikia amepelekwa South Africa kwa matibabu).
Hii point yako ya mwisho juu ya ule ugonjwa wake huu ndiyo muda muafaka wa kumpiga maneno yenye kuumiza ili augue vizuri