Lee Van free
JF-Expert Member
- Aug 14, 2024
- 2,833
- 8,777
Ukishachukiwa kuvuka/kupea viwango,basi ujue hata uigize kufanya wema upi, lazima utakwama tu.CCM wanapoteza nguvu sana maana kila wanapojaribu kuficha au kuchafua sifa ya Heche, ndivyo wanavyozidi kumfanya awe viral na kupata umaarufu mkubwa zaidi kwa vijana wa Gen Z.
Simple & clear.Ukishachukiwa kuvuka/kupea viwango,basi ujue hata uigize kufanya wema upi, lazima utakwama tu.
Riz moko hatakubali uchaguzi uwe huru na wa HAKI😀Nimesema CHADEMA na Heche wakivuka na hili,maana yake wameshapitia matukio mengi ya kutengenezwa na walivuka.
Sasa limekuja hili la Heche kuzushiwa kula Hela.
Najiukiza hivi,ikiwa CHADEMA itavuka hili,na Nina uhakika itavuka kwa maana ni ushuzi TU,wala sio uzushi.
Na ikiwa Heche atavuka hili,na inshala atavuka,
Je Wazushi na watesi wao yaani CCM watakuja na lipi?
Kwa tathmini yangu ndogo naona kabisa CCM kwa kupitwa kwao na wakati bila kujua wamtangaza sana Bwana Heche,wamepelelea kumfanya Heche awe maarufu kuliko alivyokua mwanzo, Sasa hivi hata wale waliokua hawafatilii siasa kwa sana mfano wanawake, wasichana na watoto ambao bado kidogo TU kufikisha miaka 18 wameshamjua Heche ni nani na CHADEMA ni Nini.
CCM wameishiwa mbinu za mchezo.
Hapa maana yangu ni ndogo TU mwaka 2030 si mbali,na uchaguzi utakua huru na wa haki,CCM mtake mistake.
Kwa kifupi CCM kwa ujinga wamemtangaza Heche na CHADEMA mara dufu kuliko ilivyokua kabla ya kadhia hii.
Heche anaweza asiwe mgombea Urais,lkn Umaarufu wake aliopewa na CCM utamsaidia sana mgombea atakae pitishwa na CHADEMA na kuleta madhara makubwa sana Kwa CCM.
Kumbuka nimesema Uchaguzi ujao utakua huru na wa haki.
Na Kwa bahati mbaya hawana hata wataalam wa kutafasi alama za nyakati.CCM wanapoteza nguvu sana maana kila wanapojaribu kuficha au kuchafua sifa ya Heche, ndivyo wanavyozidi kumfanya awe viral na kupata umaarufu mkubwa zaidi kwa vijana wa Gen Z.
Bado wanaamini monetary influence itashinda digital advocacy and grassroots movement.Na Kwa bahati mbaya hawana hata wataalam wa kutafasi alama za nyakati.
Mfano hebu ona CHADEMA ilifungiwa osifanye siasa na ikanyimwa ruzuku,walipofanya hivyo Kwa akili zao zisizoweza kutambua alama za nyakati walizani CHADEMA itadhoofika,waliporuhusu walichokuja kukuona hawakuamini macho Yao.
Maana watu walijutokeza kwa maelfu kwenye mikutano ya CHADEMA bila hata vivutio vyovyote,chakushangaza zaidi sio watu kujitokeza TU,Bali kuchangia tonetone kwenye mikutano Yao.
Hii ni tofauti ya mbigu na ardhi kati ya CCM na CDM.
Wakati CCM inawapa watu Hela ili waende kwenye mikutano Yao, CDM inapewa Hela na watu kwenye mikutano Yao kwa njia ya michango ya tonetone.
Hali hii inatisha kwa kweli.
Riz Moko ni mtu mdogo sana kwenye uso wa Dunia.Riz moko hatakubali uchaguzi uwe huru na wa HAKI😀
Hizo njia za monetary influence zilishatumika sana huko nyuma sehemu kadhaa duniani,lkn hua hazidumu muda ukifika.Bado wanaamini monetary influence itashinda digital advocacy and grassroots movement.
Wanawekeza kwenye visibility, acha CHADEMA tuendelee kuwekeza kwenye credibility.
Hebu fikiria CCM inamtuhumu mtu kua kala Hela,halafu wanatokea watu wakamuomba huyo mtuhumiwa awape namba yake ya Benki ili wamuwekee Hela yeye binafsi ili kama kuzila azile zaidiCCM wameshindwa kusoma alama za nyakati , nature itawafundisha somo hilo vyema.
Hili suala la kuamini wana control kwa sababu wana rasilimali ndiyo linawapoteza haswa.Hizo njia za monetary influence zilishatumika sana huko nyuma sehemu kadhaa duniani,lkn hua hazidumu muda ukifika.
Kwa Tanzania Sasa hivi muda umeshafika.
Hata ndani ya chama choa tu Cha CCM zilifikia muda zikafeli pakukwa.
Unaikumbuka story ya WAJUMBE?
Kuna WAJUMBE walipokeaga Hela lakini kura wakapeleka kwa wengine.
Mgombea aliepigwa Hela yake alisikika akilalamika kua "WAJUMBE sio watu"
Kupisha kiti ndio mtego wa watesi wa Heche ulipo,akipisha nao ndio watapata nafasi ya kufanikisha malengo Yao.Uongozi bora huanzia ndani, heche angepisha kiti ili uchunguzi huru ndani ya chama ufanyike, kama atakuwa hajapita na bakuli la tonetone ukweli utadhihiri na ataendelea na nafasi yake!! Heche ishi unachohubiri!!
Na watu saa hizi wanarecord video wakiwa wanachangia michango yao .Hebu fikiria CCM inamtuhumu mtu kua kala Hela,halafu wanatokea watu wakamuomba huyo mtuhumiwa awape namba yake ya Benki ili wamuwekee Hela yeye binafsi ili kama kuzila azile zaidi
Hii spirit inawatisha sana watesi wa Heche.
Na siyo kupoteza nguvu tu bali wanajidhalilisha sana kubuni mbinu za kitoto kama hii maana sasa hivi wako uchi kabisaCCM wanapoteza nguvu sana maana kila wanapojaribu kuficha au kuchafua sifa ya Heche, ndivyo wanavyozidi kumfanya awe viral na kupata umaarufu mkubwa zaidi kwa vijana wa Gen Z.
Kwa kifupi Mkuu muda wao wa kudanganya kwa kutumia vitu kama kofia ,tisheti,Hela,vitisho umekwisha,Hili suala la kuamini wana control kwa sababu wana rasilimali ndiyo linawapoteza haswa.
Kuhusu stori ya wajumbe, nimekumbuka imebidi nicheke.
Kweli kabisa ,CHADEMA ilipitia mengi mno na iikavuka.Hakuna jipya hapa,umesahau yale ya ugaidi ya Mwigulu