CHADEMA na Heche wakivuka na hili CCM watakuja na lipi?

Wanachofanya sasa ni ile mfa maji haishi kutapatapa.
 
Safi sana. Hii ni habari njema
 
Wakati CCM inawapa watu Hela ili waende kwenye mikutano Yao, CDM inapewa Hela na watu kwenye mikutano Yao kwa njia ya michango ya tonetone.
Hali hii inatisha kwa kweli.
Hili ndo husababisha mafisadi na vibaraka wao kupagawa na kupoteza dira
 
Mawazo Yako na yaheshimiwe, kweli ndani yake!
 
Nina miaka 56,Nimeanza kumsikia makamu mwenyekiti wao nikiwa na miaka 14,Sasa hapo unategemea kwenda na wakati,Yaani upite na speaker utangaze Kuna mziki Bure wanapiga Tabora jazz utegemee nyomi ya G_z,ni kujilisha Upepo!
 
Uchaguzi ukiwa huru na haki, Tundu Lisu hatogombea?
 
Kweli kabisa.
 
Nina miaka 56,Nimeanza kumsikia makamu mwenyekiti wao nikiwa na miaka 14,Sasa hapo unategemea kwenda na wakati,Yaani upite na speaker utangaze Kuna mziki Bure wanapiga Tabora jazz utegemee nyomi ya G_z,ni kujilisha Upepo!
Ha ha ha,haa..Wasira.
Ndio think tank wao.unadhani anaweza kweli kukabiliana na ubunifu wa GenZ?
Ndio maana wanakaa wanarudia mbinu zilezile walizotumia miaka 30 iliyopota walipokua wakikabiliana na NCCR Mageuzi ya Akina Lyatonga Mrema walipokua wakimzishia kia ana Matatizo ya afya ya akili.
Huku wakisahau kua alikua mwana CCM,akawa Mbunge,Waziri hodari kabisa wa Mambo ya Ndani, na akapandoshwa cheo akawa Naibu Waziri Mkuu.
Vyeo vyote hivyo walimpa akiwa kwao,alipotoka kwao wakaanza kumzushia kua ana afya ya akili.
Sasa mbinu hizi Hazina nafasi Tena kwa kizazi hiki.
 
Uchaguzi ukiwa huru na haki, Tundu Lisu hatogombea?
Siwezi kusema Kwa Sasa kama atagombea ama hata gombea kwa sababu hatujui yajayo.
Ni Hadi chama kimpitishe,na CDM ni chama Cha kidemokrasia,bila kusahau nafasi ya Mungu.
 
Hapo unavumruga ka-wick
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…