CHADEMA na kutochukua tahadhari ya Corona katika mikutano yake

CHADEMA na kutochukua tahadhari ya Corona katika mikutano yake

mnaitisha kongamano kipindi corona imepamba moto.Je wote watakuwa wamevaa barakoa? na ni lazima kuwa na makongamano kipindi hichi?

nimeona anayejiita Mch Peter msigwa naye atakuwa mwanza kesho kwenye kongamano.lakini nasikia huko kwake iringa hali si shwari kuhusu corona. Au ndiyo unaenda kuomba msaada wa barakoa na chanjo? Tuwage serious kwa mambo serious kwa wakati serious
 
mnaitisha kongamano kipindi corona imepamba moto.Je wote watakuwa wamevaa barakoa? na ni lazima kuwa na makongamano kipindi hichi?

nimeona anayejiita Mch Peter msigwa naye atakuwa mwanza kesho kwenye kongamano.lakini nasikia huko kwake iringa hali si shwari kuhusu corona.Au ndiyo unaenda kuomba msaada wa barakoa na chanjo?
tuwage serious kwa mambo serious kwa wakati serious
Kwahiyo wewe unasemaje,?arapsii aingilie Kati ama?
 
Back
Top Bottom