Elections 2010 CHADEMA na madiwani Arushaa

Elections 2010 CHADEMA na madiwani Arushaa

Siku zote viongozi makini lazima wamuue mambo magumu kama haya bila kujali kuwa uchaguzi ukirudiwa watapoteza au rahasha kikubwa ni maamzi magumu, guuuuuuud Chadema, naamini mko makini mno hata Shibuda tunamtaka awe out of CDM.
 
Hayo ni maoni yako ila jana nilipita mtaa wa philiops bendera za cdm zinapepea kila kona..wana arusha tupo makini sio kama vigeugeu magamba..

Huo ndoo ukweli mkuu kwani wanachama wa CDM ndo sisi na siyo wanyama, hatutaki madiwani wanafiki wasiojua nini maana wa kuwatumikia wastz kwa maamzi magumu ila hao madiwani walitanguliza njaa badala ya ukweli wa jambo, guuuuuud CDM, take alll of them out,,,,,,,
 
Jamani mwenye data atujuze.
Kuna baadhi humu wanasema madiwani hao wa CDM tayari wameshatii amri ya kujiuzulu nyazifa 'za mwafaka'.
Kuna ukweli gani?
Mkuu PAKAJIMY nadhani upo pande za huko Kaskazini, tujuze tafdadhali.
 
Arusha wananchi wanataka madiwani wote waliokiukwa wachukuliwe hatua kali za kinidhamu, ikiwa ni pamoja na kuwanyang'anya kadi za uananchama
 
Kama alishawahi kuondoka WALID AMAN KABOURU na CHADEMA ikabaki sina hofu na hao vilaza.
 
Ni wakati muafaka viongozi wa cdm kujua kuwa vyama haviendeshwi kama biashara.
 
Jamani mwenye data atujuze.
Kuna baadhi humu wanasema madiwani hao wa CDM tayari wameshatii amri ya kujiuzulu nyazifa 'za mwafaka'.
Kuna ukweli gani?
Mkuu PAKAJIMY nadhani upo pande za huko Kaskazini, tujuze tafdadhali.
Nimeomgea na baadhi ya madiwani wako dodoma wameitwa kwenye kamati kuu na bado wana msimamo wao wa kutokujiuzuru na wanasema watasimamamia kwa lolote lile na hawa hami chama....
 
<br />
<br />
Walijuzulu kwa manufaa ya chama,na bado wanaendelea kuwa wanachama waaminifu,
Mkuu Nanyaro uko Arusha au Dodoma tumeelezwa leo kuna kikao cha kamati kuu na madiwani wote wameitwa Dodoma kama uko Dodoma una taarifa zozote.
 
Nimeomgea na baadhi ya madiwani wako dodoma wameitwa kwenye kamati kuu na bado wana msimamo wao wa kutokujiuzuru na wanasema watasimamamia kwa lolote lile na hawa hami chama....
Kama hawahami na hawatii uongozi huoni hiyo ni fujo.
 
Nimekerwa na kauli ya diwani wa CHADEMA eti....CCM wahawata kubali kurudia uchaguzi kwa sababu watadaiwa fidia na ndugu wa marehemu, ndiyo maana iliwabidi wagawane madaraka...
 
Chadema Arusha,kipo imara,na kitaendelea kuwa imara tumejidhatiti sana,

Bila shaka ndio maana mnataka kupima Oil kwa kutumia kidole gumba!!! Ingawaje sina mapenzi na chama chochote including hiyo CDM but ningewashauri kwamba ktk suala hili CCM hawana cha kupoteza!! miongoni mwa madiwani 3 wakipata mmoja kwao ni bonge la ushindi lakini kwa CDM kupoteza japo mmoja ni bonge loss!
 
Chadema Arusha,kipo imara,na kitaendelea kuwa imara tumejidhatiti sana,
Hapo mzee umenena, ukipita vijiweni na maeneo mbali mbali ya mji wa Arusha na viunga vyake utagundua hapa umaarufu ni chama zaidi kuliko watu/viongozi kinachotakiwa ni kulinda kura tu uchaguzi wowote utakaofanyika
 
Chama makini huwa hakitetereki na hakijutii maamuzi.
 
Bila shaka ndio maana mnataka kupima Oil kwa kutumia kidole gumba!!! Ingawaje sina mapenzi na chama chochote including hiyo CDM but ningewashauri kwamba ktk suala hili CCM hawana cha kupoteza!! miongoni mwa madiwani 3 wakipata mmoja kwao ni bonge la ushindi lakini kwa CDM kupoteza japo mmoja ni bonge loss!
Nafikiri ushindi si kupata madiwani ni chama kuwa na msimamo na kuona haki ikitendeka hata kama wakiwakosa madiwani wote.
 
Mkuu Nanyaro uko Arusha au Dodoma tumeelezwa leo kuna kikao cha kamati kuu na madiwani wote wameitwa Dodoma kama uko Dodoma una taarifa zozote.
<br />
<br />
mkuu mie nipo Arusha,sijaenda dodoma,
 
Back
Top Bottom