masopakyindi
Platinum Member
- Jul 5, 2011
- 18,870
- 15,068
Weee....matusi utayaoga!Huko kwa bibi, Malkia wa Uingereza, uchaguzi ndo umeisha na mshindi ni Boris Jonon wa chama cha mabwanyenye.
Jeremy Corbyn wa chama cha wavuja jashi ameshindwa.
Kwa demokrasi kabisa Corbyn atajiuzulu muda wowote kukiongiza chama chake.
SOMO
Mbowe alitakiwa ajiuzulu muda mrefu uliopita, lakini leo hii ni reminder.
Ngoja mumpelekee dodoki na taulo kabisa
Acheni kukariri..na ushoga mtasema tuwaige..Huko kwa bibi, Malkia wa Uingereza, uchaguzi ndo umeisha na mshindi ni Boris Jonon wa chama cha mabwanyenye.
Jeremy Corbyn wa chama cha wavuja jashi ameshindwa.
Kwa demokrasi kabisa Corbyn atajiuzulu muda wowote kukiongiza chama chake.
SOMO
Mbowe alitakiwa ajiuzulu muda mrefu uliopita, lakini leo hii ni reminder.
Huko kwa bibi, Malkia wa Uingereza, uchaguzi ndo umeisha na mshindi ni Boris Jonon wa chama cha mabwanyenye.
Jeremy Corbyn wa chama cha wavuja jashi ameshindwa.
Kwa demokrasi kabisa Corbyn atajiuzulu muda wowote kukiongiza chama chake.
SOMO
Mbowe alitakiwa ajiuzulu muda mrefu uliopita, lakini leo hii ni reminder.
Huyo jeremy ni rafiki yake Zitto
Jeremy anasiasa za kiafrica sana
Wazungu wameamua kumpuuza
Ajabu kweli kweli! Umefika mahali pa kulinganisha demokrasia ya Tanzania na Uingereza?Huko kwa bibi, Malkia wa Uingereza, uchaguzi ndo umeisha na mshindi ni Boris Jonon wa chama cha mabwanyenye.
Jeremy Corbyn wa chama cha wavuja jashi ameshindwa.
Kwa demokrasi kabisa Corbyn atajiuzulu muda wowote kukiongiza chama chake.
SOMO
Mbowe alitakiwa ajiuzulu muda mrefu uliopita, lakini leo hii ni reminder.
Kwani demokrasia inachagua nchi, dini au rangi?Ajabu kweli kweli! Umefika mahali pa kulinganisha demokrasia ya Tanzania na Uingereza?
Pia malizia kwa kusema, conservative ni marafiki wa CHADEMA!Huyo jeremy ni rafiki yake Zitto
Jeremy anasiasa za kiafrica sana
Wazungu wameamua kumpuuza
Unalinganisha Uingereza na Kusini mwa jangwa la sahara!!!!!Huko kwa bibi, Malkia wa Uingereza, uchaguzi ndo umeisha na mshindi ni Boris Jonon wa chama cha mabwanyenye.
Jeremy Corbyn wa chama cha wavuja jashi ameshindwa.
Kwa demokrasi kabisa Corbyn atajiuzulu muda wowote kukiongiza chama chake.
SOMO
Mbowe alitakiwa ajiuzulu muda mrefu uliopita, lakini leo hii ni reminder.
Tena uhuni wa kishamba!Wewe una akili timamu kweli? Unalinganisha uhuni unafanyika Tanzania unafananisha Uingereza?
Hivi unavyoandika unajua siasa za uk. Kama hujui kaa kimya sie tuliempa Boris kura tunajua siasa za uk. Colby wala hajiuzulu kama unavyodai. Colby ataendelea kuongoza Labour mpaka hapo atakapopatikana wa kumrithiHuko kwa bibi, Malkia wa Uingereza, uchaguzi ndo umeisha na mshindi ni Boris Jonon wa chama cha mabwanyenye.