CHADEMA na Mbowe somo hili lakuhusu: Jeremy Corbyn kashindwa uchaguzi, kujiuzulu muda wowote!

Huko kwa bibi, Malkia wa Uingereza, uchaguzi ndo umeisha na mshindi ni Boris Jonon wa chama cha mabwanyenye.
Jeremy Corbyn wa chama cha wavuja jashi ameshindwa.

Kwa demokrasi kabisa Corbyn atajiuzulu muda wowote kukiongiza chama chake.

SOMO
Mbowe alitakiwa ajiuzulu muda mrefu uliopita, lakini leo hii ni reminder.
Nafikiri umechanganya, hakuna chama cha mabwanyenye. Ila kuna bunge la mabwanyenye ( house of lords) tofauti na lile la house of commons. Kumbuka, Uingereza inafuata bicameral system.
Chama kilichoshinda, Conservative Party, kwa kiswahili tunawaita wahafidhina! Sio mabwanyenye!
 
Hivi unavyoandika unajua siasa za uk. Kama hujui kaa kimya sie tuliempa Boris kura tunajua siasa za uk. Colby wala hajiuzulu kama unavyodai. Colby ataendelea kuongoza Labour mpaka hapo atakapopatikana wa kumrithi
Usiwe mshamba wa siasa za Uingereza.
Na sisi tumepiga kura huko kitambi sana enzi za mana Thatcher.
Thatcher alipomshinda Neili Kinnock 1986/87 ilibidi Kinnock aachie ngazi Labour.

Na akatokomea kusikojulikana.
Corbyn ataachia ngazi tu, its a matter of time.

Mbowe lazima alambe sakafu.
 
Huko kwa bibi, Malkia wa Uingereza, uchaguzi ndo umeisha na mshindi ni Boris Jonon wa chama cha mabwanyenye.
Jeremy Corbyn wa chama cha wavuja jashi ameshindwa.

Kwa demokrasi kabisa Corbyn atajiuzulu muda wowote kukiongiza chama chake.

SOMO
Mbowe alitakiwa ajiuzulu muda mrefu uliopita, lakini leo hii ni reminder.
Haufai kuwa mchambuzi wala mshauri, ungeutumia mwenendo wa uchaguzi huo kuishauri serikali na CCM kutoliogopa na kuliheshimu sanduku la kura, haya ya Chadema ni madogo sana wala hayana tija kwa wananchi.
 
Kimbieni ukwelivst your own peril.
 
Haichagui, lakini katika nchi za kidikteta kama hii ya kwetu demokrasia haizingatiwi wala kuheshimika!
Kama wewe unaamini nchi hii ni ya kidikteta basi ujue naye Mbowe haheshimu sana demokrasia
 
Pole sana ndugu!
Huko kwa bibi, Malkia wa Uingereza, uchaguzi ndo umeisha na mshindi ni Boris Jonon wa chama cha mabwanyenye.
Jeremy Corbyn wa chama cha wavuja jashi ameshindwa.

Kwa demokrasi kabisa Corbyn atajiuzulu muda wowote kukiongiza chama chake.

SOMO
Mbowe alitakiwa ajiuzulu muda mrefu uliopita, lakini leo hii ni reminder.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kwa uchaguzi upi uliopita hivi karibuni? huo uhuni unaita uchaguzi.
 
"Boris Jonon " Atakuwa baba yako wa kambo sio Waziri Mkuu wa Uk
Huko kwa bibi, Malkia wa Uingereza, uchaguzi ndo umeisha na mshindi ni Boris Jonon wa chama cha mabwanyenye.
Jeremy Corbyn wa chama cha wavuja jashi ameshindwa.

Kwa demokrasi kabisa Corbyn atajiuzulu muda wowote kukiongiza chama chake.

SOMO
Mbowe alitakiwa ajiuzulu muda mrefu uliopita, lakini leo hii ni reminder.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna hoja gani hapa? Membe keshokutwa mnamuita kamati yenu mavi ya maadili kisa anataka kugombea Urais 2020 hiyo ndio demokrasia sio?...unatamka demokrasia halafu kibindoni mna mapanga shwain nyie

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni ujinga kubadili maudhui ya mada.
Jadili kilichopo kwenye mada, ndio maana Division IV ni halali yenu.
 
"
Kwa demokrasi kabisa Corbyn atajiuzulu muda wowote kukiongiza chama"

Hapa haukuwa unaongelea demokrasia?

Nilipotoka nje ya mada ni wapi? Membe kuchukua fomu kugombea urais sio demokrasia?
Ni ujinga kubadili maudhui ya mada.
Jadili kilichopo kwenye mada, ndio maana Division IV ni halali yenu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Katiba inayo muweka mwenyekiti madarakani kwa miaka 20?
Hiyo katiba ya usultani!
Kwani cha ajabu kipi? Mbona kuna katiba ambazo hazina ukomo?

CCM katiba yao haina ukomo, kinachowaongoza ni katiba ya nchi! Pia nafasi ya uwenyekiti wa CCM Taifa haugombewi bali ni automatic anapewa Rais, na hii inatokana na kuwa madarakani tangu uhuru.
 
Kuna watu walipindua zile Sheet za Excel mwaka 2015..Na goal la mkono likafungika...pasipo tatizo.Idadi ya wapiga Kura ikazidi kura zenyewe....

Ila wapo mzigoni mpaka leo nchii inanyooka kwa mujibu wa Walevi flani walisikika wakiambiana.
 
Huko kwa bibi, Malkia wa Uingereza, uchaguzi ndo umeisha na mshindi ni Boris Jonon wa chama cha mabwanyenye.
Jeremy Corbyn wa chama cha wavuja jashi ameshindwa.

Kwa demokrasi kabisa Corbyn atajiuzulu muda wowote kukiongiza chama chake.

SOMO
Mbowe alitakiwa ajiuzulu muda mrefu uliopita, lakini leo hii ni reminder.
Kikolo ulipotea kwanza kunani?

Kwa sisi wahandisi action and reactions are always equal and opposite! Ili taa kuwaka +ve and -ve should always be equal and opposite! Mwanga mkubwa inabidi msigishano uwe umkubwa zaidi.

Mfundishe bosi wako mwalimu hajui principle hizo, nadhani amekariri tuu! Hajui action and reaction zikiwa sawa na kubwa taa zitatoa mwanga mkubwa zaidi!
 
Back
Top Bottom