Nafikiri umechanganya, hakuna chama cha mabwanyenye. Ila kuna bunge la mabwanyenye ( house of lords) tofauti na lile la house of commons. Kumbuka, Uingereza inafuata bicameral system.Huko kwa bibi, Malkia wa Uingereza, uchaguzi ndo umeisha na mshindi ni Boris Jonon wa chama cha mabwanyenye.
Jeremy Corbyn wa chama cha wavuja jashi ameshindwa.
Kwa demokrasi kabisa Corbyn atajiuzulu muda wowote kukiongiza chama chake.
SOMO
Mbowe alitakiwa ajiuzulu muda mrefu uliopita, lakini leo hii ni reminder.
Usiwe mshamba wa siasa za Uingereza.Hivi unavyoandika unajua siasa za uk. Kama hujui kaa kimya sie tuliempa Boris kura tunajua siasa za uk. Colby wala hajiuzulu kama unavyodai. Colby ataendelea kuongoza Labour mpaka hapo atakapopatikana wa kumrithi
Haufai kuwa mchambuzi wala mshauri, ungeutumia mwenendo wa uchaguzi huo kuishauri serikali na CCM kutoliogopa na kuliheshimu sanduku la kura, haya ya Chadema ni madogo sana wala hayana tija kwa wananchi.Huko kwa bibi, Malkia wa Uingereza, uchaguzi ndo umeisha na mshindi ni Boris Jonon wa chama cha mabwanyenye.
Jeremy Corbyn wa chama cha wavuja jashi ameshindwa.
Kwa demokrasi kabisa Corbyn atajiuzulu muda wowote kukiongiza chama chake.
SOMO
Mbowe alitakiwa ajiuzulu muda mrefu uliopita, lakini leo hii ni reminder.
Kimbieni ukwelivst your own peril.Haufai kuwa mchambuzi wala mshauri, ungeutumia mwenendo wa uchaguzi huo kuishauri serikali na CCM kutoliogopa na kuliheshimu sanduku la kura, haya ya Chadema ni madogo sana wala hayana tija kwa wananchi.
Nani Hana njaa?? Nani kashiba?Mbowe ananjaa Kali sana ruzuku zinamtoa macho kila siku
Zito anapenda kujihusisha na wazungu walioshindwa
USSR
Sent using Jamii Forums mobile app
Haichagui, lakini katika nchi za kidikteta kama hii ya kwetu demokrasia haizingatiwi wala kuheshimika!K
Kwani demokrasia inachagua nchi, dini au rangi?
Kama wewe unaamini nchi hii ni ya kidikteta basi ujue naye Mbowe haheshimu sana demokrasiaHaichagui, lakini katika nchi za kidikteta kama hii ya kwetu demokrasia haizingatiwi wala kuheshimika!
Huko kwa bibi, Malkia wa Uingereza, uchaguzi ndo umeisha na mshindi ni Boris Jonon wa chama cha mabwanyenye.
Jeremy Corbyn wa chama cha wavuja jashi ameshindwa.
Kwa demokrasi kabisa Corbyn atajiuzulu muda wowote kukiongiza chama chake.
SOMO
Mbowe alitakiwa ajiuzulu muda mrefu uliopita, lakini leo hii ni reminder.
kwa uchaguzi upi uliopita hivi karibuni? huo uhuni unaita uchaguzi.Huko kwa bibi, Malkia wa Uingereza, uchaguzi ndo umeisha na mshindi ni Boris Jonon wa chama cha mabwanyenye.
Jeremy Corbyn wa chama cha wavuja jashi ameshindwa.
Kwa demokrasi kabisa Corbyn atajiuzulu muda wowote kukiongiza chama chake.
SOMO
Mbowe alitakiwa ajiuzulu muda mrefu uliopita, lakini leo hii ni reminder.
Kwamba haheshimu katiba ya chama chake?Kama wewe unaamini nchi hii ni ya kidikteta basi ujue naye Mbowe haheshimu sana demokrasia
Katiba inayo muweka mwenyekiti madarakani kwa miaka 20?Kwamba haheshimu katiba ya chama chake?
Huko kwa bibi, Malkia wa Uingereza, uchaguzi ndo umeisha na mshindi ni Boris Jonon wa chama cha mabwanyenye.
Jeremy Corbyn wa chama cha wavuja jashi ameshindwa.
Kwa demokrasi kabisa Corbyn atajiuzulu muda wowote kukiongiza chama chake.
SOMO
Mbowe alitakiwa ajiuzulu muda mrefu uliopita, lakini leo hii ni reminder.
Hujajibu hoja, mipasho mpe mkeo!
Hujajibu hoja, mipasho mpe mkeo!
Ni ujinga kubadili maudhui ya mada.Kuna hoja gani hapa? Membe keshokutwa mnamuita kamati yenu mavi ya maadili kisa anataka kugombea Urais 2020 hiyo ndio demokrasia sio?...unatamka demokrasia halafu kibindoni mna mapanga shwain nyie
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni ujinga kubadili maudhui ya mada.
Jadili kilichopo kwenye mada, ndio maana Division IV ni halali yenu.
Kwani cha ajabu kipi? Mbona kuna katiba ambazo hazina ukomo?Katiba inayo muweka mwenyekiti madarakani kwa miaka 20?
Hiyo katiba ya usultani!
Kikolo ulipotea kwanza kunani?Huko kwa bibi, Malkia wa Uingereza, uchaguzi ndo umeisha na mshindi ni Boris Jonon wa chama cha mabwanyenye.