Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 61,459
- 100,799
Huko kwa bibi, Malkia wa Uingereza, uchaguzi ndo umeisha na mshindi ni Boris Jonon wa chama cha mabwanyenye.
Jeremy Corbyn wa chama cha wavuja jashi ameshindwa.
Kwa demokrasi kabisa Corbyn atajiuzulu muda wowote kukiongiza chama chake.
SOMO
Mbowe alitakiwa ajiuzulu muda mrefu uliopita, lakini leo hii ni reminder.
Rev Msigwa kanywa sana supu ya wu...wu...wu.., sasa ni mbunge!
Unaniangusha sanaRev Msigwa kanywa sana supu ya wu...wu...wu.., sasa ni mbunge!
Mabinti kw kimakonde katika ubora wako! Ni wapi ccm iliwahi kumhudumia mwananchi? Au kupora zile rambirambi za kagera ndio huduma? Hapo kawe unakopapenda Sana wananchi wakiingiliwa na maji na nyumba zao kubomoka, umepeleka hata kilo moja ya unga watoto wapikiwe? Unafiki sio Jambo Jena katika maisha! Ishi uyanenayo na tembea kwenye kauli zako siku zote!Siasa za kupiga Maneno jukwaani badala ya kuhudumia Wananchi
Heri yule aitegemeaye haki na kuishi kwayo kuliko yule mnafiki, mwenye kujawa na husuda na kuwashwa tamaa ambaye atakufa akiwa mtumwa! Mjini mipango endelea kudondosha kofia kwa kuyahesabu magorofa ya wenzako!Mbowe ananjaa Kali sana ruzuku zinamtoa macho kila siku
Zito anapenda kujihusisha na wazungu walioshindwa
USSR
Sent using Jamii Forums mobile app
Katiba inayo muweka mwenyekiti madarakani kwa miaka 20?
Hiyo katiba ya usultani!
wala si mbowe tu, Africa na serikali zao zote kuna mengi ya kujifunza kutoka huko Ulaya na America kwenye siasaHuko kwa bibi, Malkia wa Uingereza, uchaguzi ndo umeisha na mshindi ni Boris Jonon wa chama cha mabwanyenye.
Jeremy Corbyn wa chama cha wavuja jashi ameshindwa.
Kwa demokrasi kabisa Corbyn atajiuzulu muda wowote kukiongiza chama chake.
SOMO
Mbowe alitakiwa ajiuzulu muda mrefu uliopita, lakini leo hii ni reminder.
Kulingana na wewe, si ume establish kuwa point zinatokana na supu mtu aliyokunywa?Unaniangusha sana