CHADEMA na Sauti ya Watanzania, msikaribishe tena watu waoga waoga kwenye mikutano yenu

CHADEMA na Sauti ya Watanzania, msikaribishe tena watu waoga waoga kwenye mikutano yenu

Mtu mwenye akili timamu, hawezi kuhudhuria mikutano ya MACHADEMA majinga yaliyosheheni udini mtupu, mkutano umejaa maaskofu, sasa huo ni mkutano au wanajumuia?
Rudi kachukue bongo lala lako!!
 

Attachments

  • IMG_20221210_125229.jpg
    IMG_20221210_125229.jpg
    95.4 KB · Views: 2
Msafara wa mamba na kenge nao wamo
Kweli Mkuu, jana tulikuwa na kenge wawili kwenye Mkutano wa CHADEMA na SAUTI YA WATANZANIA. Tunashukuru wengine wote walikuwa sawa tu. Walisema kile walitakiwa kusema kwa ujasiri wa hali ya juu kabisa pasipo kuogopa chochote.
 
Rudi kachukue bongo lala lako!!
Hili la Bandari, lingetufanya tuweke uvyama na udini mbali, tuungane kama Watanzania. Mwenyewe hapa ni mwanachama na nina kadi ya CCM lakini kwa hili hapana. Siwezi kusapoti mkataba wa hivyo, never!
 
Sio kila kitu lazima upinge.

Sijaona kosa la DPW au mkataba wake, binafsi nauunga mkono maana tumechelewa. Ila itabidi serikali ijapange haswa maana watu watajaribu hujumu hata kwa kuchoma bandari
Dah!
Sawa bhana.
Ngoja tuone, time will tell
 
Back
Top Bottom