Mtu mwenye akili timamu, hawezi kuhudhuria mikutano ya MACHADEMA majinga yaliyosheheni udini mtupu, mkutano umejaa maaskofu, sasa huo ni mkutano au wanajumuia?
Kweli Mkuu, jana tulikuwa na kenge wawili kwenye Mkutano wa CHADEMA na SAUTI YA WATANZANIA. Tunashukuru wengine wote walikuwa sawa tu. Walisema kile walitakiwa kusema kwa ujasiri wa hali ya juu kabisa pasipo kuogopa chochote.
Hili la Bandari, lingetufanya tuweke uvyama na udini mbali, tuungane kama Watanzania. Mwenyewe hapa ni mwanachama na nina kadi ya CCM lakini kwa hili hapana. Siwezi kusapoti mkataba wa hivyo, never!
Sijaona kosa la DPW au mkataba wake, binafsi nauunga mkono maana tumechelewa. Ila itabidi serikali ijapange haswa maana watu watajaribu hujumu hata kwa kuchoma bandari