YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,902
- 52,001
CHADEMA wamekuwa wakijitahidi Sana kufanya matukio ya kuvunja Sheria ili vyombo vya dola vichukue hatua na wawekwe ndani I'll wapigiwe kura za kuhurumiwa na wananchi. Huu Ni utamaduni mpya ambao CHADEMA imeouanzisha ambao haujaeahi fanya kazi ila chaguzi zao za ndani unaonyesha kufanya kazi
Yote hiyo inatokana na wao kukosa hoja za Kisiasa tofauti na zamani
Warudi kwenye historia wao walikuwa wakishinda sababu walikuwa na hoja zao binafsi zinazogusa uchumi wa nchi na maendeleo ya nchi mfano Vita dhidi ya mafisadi na ufisadi iliwabeba vizuri mno na wananchi wa Rika zote itikadi zote wakiwemo Wana CCM waliwakubali Hadi Raisi aliikubali aliposhika tu Urais akaanza Vita ya kupambana na mafisadi na ufisadi
Kwa Sasa CHADEMA Haina sera au kitu Cha kueleweka inachosimamia .Kwa miaka mitano hawajajipambanua kuwa wanasimamiwa Nini hasa tofauti na miaka ya nyuma ambapo ukiongelea CHADEMA kila mtu anajua ni wapiga Vita walio msitari wa mbele kupinga ufisadi na wizi wa Mali za umma na rushwa
Sasa hivi wanalia Lia tu kutafuta kura za huruma! Hawana kitu cha maana wanachosimamia