Kitwa-Mulomoni
JF-Expert Member
- Oct 25, 2016
- 1,779
- 1,119
Je! Hii sera yenu ya elimu, ikiwapendeza CCM wakaitekeleza baada ya kushinda 2020, kuna haja ya CHADEMA tena? Kumbuka 2015 kuna zenu zilizotekelezwa na CCM!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha kutetea ujinga we dogo!! Elimu haihitaji siasa zako uchwara!Kiukweli mfumo wetu wa elimu uko sawa
Kwa hiyo unataka niseme Lissu hawezi kufanya hivyo au hatakuwa Raisi.Unajitahidi kuwa viguvugu ila unashindwa. Be honest utaitesa sana nafsi jitahidi ulie ulikopeleka mboga
Kwangu mimi haiwezekani.Tuanze mchakato huu kwa kura yako tarehe 28 October, chagua Lisu awe raisi, pia chagua mbunge na diwani wa CHADEMA katika eneo lako. Mungu akibariki.
Nyie wajinga Sana Chadema kwa hiyo hata elimu ya udereva inayotolewa a vyuo vya udereva na ya kumsaidia mtu kufauku mitihani Tu hawezi endesha gari? Kea hiyo magari yote nchini yanaendeshwa na Wakenya au waliosoma Kenya au elimu ya ulaya?Mfumo wetu wa elimu ni wa faulu mtihani basi
Fikiri kabla ya kufikri, fikiri kabla ya kusema then fikiri kabla ya kuchukua hatua. Nakupongeza kwa kufikili kabla ya kusemaNyie wajinga Sana Chadema kwa hiyo hata elimu ya udereva inayotolewa a vyuo vya udereva na ya kumsaidia mtu kufauku mitihani Tu hawezi endesha gari? Kea hiyo magari yote nchini yanaendeshwa na Wakenya au waliosoma Kenya au elimu ya ulaya?
Elimu ya mapishi pia VETA mtu kufaulu tu hawezi pika? Wapishi wore mahotelini Ni Wakenya na waliosoma kenya au elimu ya ulaya?
Elimu ya umakenika pia mtu akiisoma anaishia kufaulu mitihani Tu hawezi tengenexa gari?
Kwa hiyo.makenika tulio naonni waliosoma Kenya na ulaya?
Elimu ya upadre na uchungaji inayotolewa nchini haimuwezeshi mtu kufanya kazi za upadre au uchungaji Ni ya kufaulu mitihani Tu?
Elimu ya uwakili wa sheria inayotolrea nchini haimuwezeshi mtu kufanya kazi za uwakili? Ni ya kumuwezesha kufaulu mitihani Tu?
Kifupi Chadema Ni hopeless kabisa kutwa kusifia vitu vya nje ndio maana tunapisema Lisu Ni mgombea kibaraka wa Wakenya na wazungu hatutanii tuko serious
Kama ni mfumo wa dunia ilivyotaka, je mbona Vita vya corona tumevipiga bila kutumia dunia inavyotaka????huu ndo mfumo uliopo kote duniani, you cant change it because syllabus sio african based but inaaendana na dunia inavotaka, kwa kifupi kaongea pumba tena, the main reason you have school sio kwenda kujaza vitu kichwan but ni kujifunza namna ya kuendesha maisha kupitia jinsi dunia ilivobadilika, it will forever be here!
Nyumba zote unaxoziona pamoja na unayoishi zimejengwa na watu waliosoma Kenya au ulaya? Kama elimu waliyosoma ilikuwa ya kufaulu mitihani Tu waliwezaje kujebga majumba yote unayoayaona ikiwemo ya kwako?Mfumo wetu wa elimu ni wa faulu mtihani basi
Ni vizuri wamlazimishe Mbowe form six Division zero akasome pia katibu wao mkuu Mnyika form six apelekwe kusoma kwa vibokoWaanze kusoma kwanza wao .walikimbia umande leo wanataka kufanya majaribio kwenye elimu yetu na kutupiga mizinga jukwaani
Kifupi wengi wanaomaliza darasa Saba na form four huenda Vyuo vya VETA kusoma vya muda mrefu au mfupiIla dadavau je ni asilimia ngapi wanaofika chuo wa wanafunzi wote wa form 4 au Darasa la saba?
Akili kama ya kwako inaitwa fixed mindset, watu wenye akili kama hizi, hawawezi kujifunza jambo jipya! Hili ni zao la elimu yetu ya kukremu na kukariri!Nyie wajinga Sana Chadema kwa hiyo hata elimu ya udereva inayotolewa a vyuo vya udereva na ya kumsaidia mtu kufauku mitihani Tu hawezi endesha gari? Kea hiyo magari yote nchini yanaendeshwa na Wakenya au waliosoma Kenya au elimu ya ulaya?
Elimu ya mapishi pia VETA mtu kufaulu tu hawezi pika? Wapishi wore mahotelini Ni Wakenya na waliosoma kenya au elimu ya ulaya?
Elimu ya umakenika pia mtu akiisoma anaishia kufaulu mitihani Tu hawezi tengenexa gari?
Kwa hiyo.makenika tulio naonni waliosoma Kenya na ulaya?
Elimu ya upadre na uchungaji inayotolewa nchini haimuwezeshi mtu kufanya kazi za upadre au uchungaji Ni ya kufaulu mitihani Tu?
Elimu ya uwakili wa sheria inayotolrea nchini haimuwezeshi mtu kufanya kazi za uwakili? Ni ya kumuwezesha kufaulu mitihani Tu?
Kifupi Chadema Ni hopeless kabisa kutwa kusifia vitu vya nje ndio maana tunapisema Lisu Ni mgombea kibaraka wa Wakenya na wazungu hatutanii tuko serious
Jitaidi tu ndugu yangu, mabadiliko yanaanza na wewe! Na haina haja ya kutangaza msimamo huo hapa, au kuhama ccm, kura ni Siri yako, October 28 chagua CHADEMA, tuipeleke nchi yetu pazuri!Kwangu mimi haiwezekani.
Unazungumzia dunia ipi mkuu? Hata watoto wa viongozi wetu wanapelekwa kusoma huko duniani, kama Miraji Kikwete, ambaye kuna mtu amemtaja hapa! Kuwa na uwezo wa unibunifu na ku-reason kunatokana na mfumo wa elimu.huu ndo mfumo uliopo kote duniani, you cant change it because syllabus sio african based but inaaendana na dunia inavotaka, kwa kifupi kaongea pumba tena, the main reason you have school sio kwenda kujaza vitu kichwan but ni kujifunza namna ya kuendesha maisha kupitia jinsi dunia ilivobadilika, it will forever be here!
Kweli tuna mitaala outdated, tujikite kwenye vocation education, ili mtoto akimaliza STD 7 Kama atashinda kuendelea aweze kujiajiri au kuajirika, vivyo hivyo kwa form IV ,na FormVIKwa hili namuunga mkono kwa asilimia zote!!
Mfumo wa elimu tunaouhitaji ni wa kuwawezesha watu kuwa na practical skills kwa kiasi kikubwa!
Hatuhitaji elimu za mkwawa alifia bwawa gani, sijui mzungu wa kwanza anaitwa nani!! Elimu ya kipumbavu sana!
Fumua kabisa huu ugonjwa wote wa akina ndalichako!
You're a vivid example of the by-product of the bad educational system being spoken about.kiufupi wapinzani hawana Hoja