Pangamalasy
Senior Member
- Jun 5, 2020
- 127
- 110
Hili LA elimu nisahihi kabisa,mnaona vijana wanakosa ajira bado mnaendlea na mfumo uleule.Bora Lissu kaleta wazo jipya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hebu fafanua hoja yako kidogo ili tuweze kuona hiyo tofauti unayo taka tuone!Ilani ya CCM inahusu nchi,ilani ya CDM inahusu mtu mmoja mmoja na jamii kwa ujumla. Tofautisha
Tuanze mchakato huu kwa kura yako tarehe 28 October, chagua Lisu awe raisi, pia chagua mbunge na diwani wa CHADEMA katika eneo lako. Mungu akibariki.Mmmh, sawa aisee.
Mkuu hotuba yote ya Lisu ipo mitandaoni, na ina mapana sana, hapa nimeweka kipande tu ili tujadi, hasa kuhusu elimu!Tuwekee hapa tusomee
Kwahiyo mnataka mkafanyie majaribio ikulu? Hatutaki nendeni twaweza mkafanyie huko, mnataka kuturudisha enzi ya akina mungai? Hayo mnayoyahubiri leo yalishakuwepo nayakafeli, kuanzia UPE elimu yakujitegemea elimu ya watu wazima, hizo practical zilikuwepo tukawa na shule Kama Moshi tech, ifunda, mkwawa shycom, na vyuo Kama Arusha tech dartec mbeya tech, mnataka kuweka gear ya reverse?Tunaanza na ku-identify tatizo, alafu way forward ni hatua zitakazo kuwa shirikishi kwa wadau mbalimbali wa elimu. Ni mchakato mzito karibu Sawa na wa kutafuta katiba mpya!
Mfumo uliopo umekuathiri sana!Kwahiyo mnataka mkafanyie majaribio ikulu? Hatutaki nendeni twaweza mkafanyie huko, mnataka kuturudisha enzi ya akina mungai? Hayo mnayoyahubiri leo yalishakuwepo nayakafeli, kuanzia UPE elimu yakujitegemea elimu ya watu wazima, hizo practical zilikuwepo tukawa na shule Kama Moshi tech, ifunda, mkwawa shycom, na vyuo Kama Arusha tech dartec mbeya tech, mnataka kuweka gear ya reverse?
Kwahiyo mnataka mkafanyie majaribio ikulu? Hatutaki nendeni twaweza mkafanyie huko, mnataka kuturudisha enzi ya akina mungai? Hayo mnayoyahubiri leo yalishakuwepo nayakafeli, kuanzia UPE elimu yakujitegemea elimu ya watu wazima, hizo practical zilikuwepo tukawa na shule Kama Moshi tech, ifunda, mkwawa shycom, na vyuo Kama Arusha tech dartec mbeya tech, mnataka kuweka gear ya reverse?Tunaanza na ku-identify tatizo, alafu way forward ni hatua zitakazo kuwa shirikishi kwa wadau mbalimbali wa elimu. Ni mchakato mzito karibu Sawa na wa kutafuta katiba mpya!
Kwahiyo unakubaliana na Mzee Kishimbani kufumua tu mengine yatajikoki mbele tutaadjust kwenda na mazingira mbele ya kwa mbele mambo ya kuzeekea shule ni upumbafu hakuna unachotoka na nacho kuna sababu gan ya kusoma miaka zaidi ya 20
Hujui dunia iko wapi na inaenda wapi??? Kama unajua dunia iko wapi na inaenda wapi lazima utakuwa unajua Elimu yetu inatakiwa kufumuliwa upya ili watu wafunzwe kutokana na mbadiriko ya sayansi ya teknolojia!!Kwahiyo mnataka mkafanyie majaribio ikulu? Hatutaki nendeni twaweza mkafanyie huko, mnataka kuturudisha enzi ya akina mungai? Hayo mnayoyahubiri leo yalishakuwepo nayakafeli, kuanzia UPE elimu yakujitegemea elimu ya watu wazima, hizo practical zilikuwepo tukawa na shule Kama Moshi tech, ifunda, mkwawa shycom, na vyuo Kama Arusha tech dartec mbeya tech, mnataka kuweka gear ya reverse?
Kwahiyo unakubaliana na Mzee Kishimba
Kwani akina Halima Mdee, Mnyika walisoma wapi? Kwahiyo Libya Misri Belarus elimu yao iko juu?Hujui dunia iko wapi na inaenda wapi??? Kama unajua dunia iko wapi na inaenda wapi lazima utakuwa unajua Elimu yetu inatakiwa kufumuliwa upya ili watu wafunzwe kutokana na mbadiriko ya sayansi ya teknolojia!!
Wahitimu wa elimu ya Tanzania ni aibu na ndo mana karibu wote wanajipendekeza tu kwa viongozi ili wapate uteuzi.
Unajitahidi kuwa viguvugu ila unashindwa. Be honest utaitesa sana nafsi jitahidi ulie ulikopeleka mbogaMmmh, sawa aisee.
Weka solution na gharama zake.Nimepokea kwa mikono miwili sera ya CHADEMA, hasa kuhusu mfumo elimu.
Sera yetu ya elimu na mfumo huu wa elimu siyo mzuri. Tuna mfumo wa elimu ambao umejikita kwenye kukariri ili kujiandaa na mitiani ya mwisho. Lengo ni kupata cheti cha ufaulu wa mitiani, na hatimaye kuajiriwa.
Kuna matatizo kadha yanayo tengenezwa na mfumo huu wa elimu:
Kwanza, mfumo huu haumpi mwanafunzi uwezo wa ubunifu, kujenga hoja binafsi, zaidi ya kukariri alicho elekezwa na mwalimu!
Pili, mwanafunzi hapati maarifa yalikusudiwa.
Tatu, mfumo huu unajenga mianya ya rushwa, siyo tu kufaulu mitiani yenyewe, lakini ndiko tabia za rushwa na ufisadi zinakozaliwa.
Mfumo huu wa elimu siyo shirikishi, kwa sababu mwanafunzi hapati nafasi za kushiriki darasa kwa kuchangia au kuuliza maswali. Ni mfumo wa “ndiyo mzee”, ambapo mwalimu ni ‘I know it all, na wanafunzi ni ‘you know nothing’! Hapa ukijumlisha na dhana ya ‘mkubwa hakoseagi’, unapata taifa la watu wasikosowa na kutopenda kukosolewa hata kama unakosea.
Matatizo hayo ya mfumo wetu wa elimu na pia uelewa mdogo wa lugha za kimataifa, ni kikwazo kikubwa cha soko la ajira ndani na nje ya nchi, hasa wakati huu wa utandawazi.
Asante sana Tundu Lissu na CHADEMA kwa utayari na uthubutu wenu wa ku-challenge mfumo wetu wa elimu. Nategemea kwamba sera yenu hii itakuja kutekelezwa kwa kuufumia kabisa mfumo wetu wa elimu, ili kujenga taifa lenye elimu bora, katika kutekeleleza kaulimbiu yenu ya Uhuru, Haki na Maendeleo ya watu.
Mungu ibariki Tanzania , Mungu ibariki CHADEMA, Mungu mmbariki Tundu Lisu!
😆😆😆Umezaliwa dodoma
Hii mifumo ya elimu iko kidunia, huo mfumo yeye anautoa wapi? Umefanikiwa majaribio wapi? Nani kamwambia majirani wako vizuri kuliko wabongo?
Lissu hebu nenda Congo Mali Bulgaria uone mining experts wakitanzania wanavyoheshimika, one of the best pilots wa emirates Ni miraj kikwete, nenda world bank utamkuta Miriam Salim, nenda who utakutana na Dr Mwale, wote Hawa wameanza shule humuhumu, hao mbumbu Ni wapi?
Pole sana, Miraji Kikwete anazaliwa Babake alikuwa na cheo gani Serikalini? Mpaka akapata hiyo kazi babake alikuwa na cheo gani serikalini? chuo alichomalizia masomo yake ada si chini ya milini 100 kwa mwaka, niambie ni watanzania wangapi wanaweza kulipa ada ya milioni 100 kwa mwaka?Hii mifumo ya elimu iko kidunia, huo mfumo yeye anautoa wapi? Umefanikiwa majaribio wapi? Nani kamwambia majirani wako vizuri kuliko wabongo?
Lissu hebu nenda Congo Mali Bulgaria uone mining experts wakitanzania wanavyoheshimika, one of the best pilots wa emirates Ni miraj kikwete, nenda world bank utamkuta Miriam Salim, nenda who utakutana na Dr Mwale, wote Hawa wameanza shule humuhumu, hao mbumbu Ni wapi?
Elimu ipi unaongelea? Mainijinia, madaktari,marubani? Hao waliosoma nchini mwetu udaktari,uinjini na urubani waweza compete sio soko la Afrika Mashariki tu Bali duniani poteNaunga mkono hoja . Elimu yetu inahitaji kufumuliwa upya kabisa.Tumezalisha watu ambao hawawezi ku compete hata kwenye jumuiya ya Africa Mashariki tu!!
Hongereni Chadema kwa kuleta hili.