Uchaguzi 2020 CHADEMA na Tundu Lissu wamekuja na mwarobaini wa tatizo la mfumo wetu wa elimu

Uchaguzi 2020 CHADEMA na Tundu Lissu wamekuja na mwarobaini wa tatizo la mfumo wetu wa elimu

Nawapenda sana CCM, CDM walipoleta sera ya elimu bure hadi chuokikuu na SGR-wao walicheka wakasema mbavu zao zinawauma. Jamaa yao alipoingia aka anza kutekeleza mawazo hayo hayo ambayo waliyapinga wanasema yesu kaja. Kwa hiyo usishangae badala ya kudadavua wazo hili la elimu wao wanakejeli.
 
Tunaanza na ku-identify tatizo, alafu way forward ni hatua zitakazo kuwa shirikishi kwa wadau mbalimbali wa elimu. Ni mchakato mzito karibu Sawa na wa kutafuta katiba mpya!
Kwahiyo mnataka mkafanyie majaribio ikulu? Hatutaki nendeni twaweza mkafanyie huko, mnataka kuturudisha enzi ya akina mungai? Hayo mnayoyahubiri leo yalishakuwepo nayakafeli, kuanzia UPE elimu yakujitegemea elimu ya watu wazima, hizo practical zilikuwepo tukawa na shule Kama Moshi tech, ifunda, mkwawa shycom, na vyuo Kama Arusha tech dartec mbeya tech, mnataka kuweka gear ya reverse?
 
Mfumo uliopo umekuathiri sana!
 
ni kufumua tu mengine yatajikoki mbele tutaadjust kwenda na mazingira mbele ya kwa mbele mambo ya kuzeekea shule ni upumbafu hakuna unachotoka na nacho kuna sababu gan ya kusoma miaka zaidi ya 20
Kwahiyo unakubaliana na Mzee Kishimba
 
Kiukweli mfumo wetu uko sawa japo Kuna changamoto ndogondogo hizo ziko ndani ya uwezo wa waziri
 
Kwahiyo mnataka mkafanyie majaribio ikulu? Hatutaki nendeni twaweza mkafanyie huko, mnataka kuturudisha enzi ya akina mungai? Hayo mnayoyahubiri leo yalishakuwepo nayakafeli, kuanzia UPE elimu yakujitegemea elimu ya watu wazima, hizo practical zilikuwepo tukawa na shule Kama Moshi tech, ifunda, mkwawa shycom, na vyuo Kama Arusha tech dartec mbeya tech, mnataka kuweka gear ya reverse?
Kwahiyo unakubaliana na Mzee Kishimba
Hujui dunia iko wapi na inaenda wapi??? Kama unajua dunia iko wapi na inaenda wapi lazima utakuwa unajua Elimu yetu inatakiwa kufumuliwa upya ili watu wafunzwe kutokana na mbadiriko ya sayansi ya teknolojia!!

Wahitimu wa elimu ya Tanzania ni aibu na ndo mana karibu wote wanajipendekeza tu kwa viongozi ili wapate uteuzi.
 
Kwani akina Halima Mdee, Mnyika walisoma wapi? Kwahiyo Libya Misri Belarus elimu yao iko juu?
 
Nimepokea kwa mikono miwili sera ya CHADEMA, hasa kuhusu mfumo elimu.

Sera yetu ya elimu na mfumo huu wa elimu siyo mzuri. Tuna mfumo wa elimu ambao umejikita kwenye kukariri ili kujiandaa na mitiani ya mwisho. Lengo ni kupata cheti cha ufaulu wa mitiani, na hatimaye kuajiriwa.

Kuna matatizo kadha yanayo tengenezwa na mfumo huu wa elimu:

Kwanza, mfumo huu haumpi mwanafunzi uwezo wa ubunifu, kujenga hoja binafsi, zaidi ya kukariri alicho elekezwa na mwalimu!

Pili, mwanafunzi hapati maarifa yalikusudiwa.

Tatu, mfumo huu unajenga mianya ya rushwa, siyo tu kufaulu mitiani yenyewe, lakini ndiko tabia za rushwa na ufisadi zinakozaliwa.

Mfumo huu wa elimu siyo shirikishi, kwa sababu mwanafunzi hapati nafasi za kushiriki darasa kwa kuchangia au kuuliza maswali. Ni mfumo wa “ndiyo mzee”, ambapo mwalimu ni ‘I know it all, na wanafunzi ni ‘you know nothing’! Hapa ukijumlisha na dhana ya ‘mkubwa hakoseagi’, unapata taifa la watu wasikosowa na kutopenda kukosolewa hata kama unakosea.

Matatizo hayo ya mfumo wetu wa elimu na pia uelewa mdogo wa lugha za kimataifa, ni kikwazo kikubwa cha soko la ajira ndani na nje ya nchi, hasa wakati huu wa utandawazi.

Asante sana Tundu Lissu na CHADEMA kwa utayari na uthubutu wenu wa ku-challenge mfumo wetu wa elimu. Nategemea kwamba sera yenu hii itakuja kutekelezwa kwa kuufumia kabisa mfumo wetu wa elimu, ili kujenga taifa lenye elimu bora, katika kutekeleleza kaulimbiu yenu ya Uhuru, Haki na Maendeleo ya watu.

Mungu ibariki Tanzania , Mungu ibariki CHADEMA, Mungu mmbariki Tundu Lisu!
Weka solution na gharama zake.
 
Hii mifumo ya elimu iko kidunia, huo mfumo yeye anautoa wapi? Umefanikiwa majaribio wapi? Nani kamwambia majirani wako vizuri kuliko wabongo?

Lissu hebu nenda Congo Mali Bulgaria uone mining experts wakitanzania wanavyoheshimika, one of the best pilots wa emirates Ni miraj kikwete, nenda world bank utamkuta Miriam Salim, nenda who utakutana na Dr Mwale, wote Hawa wameanza shule humuhumu, hao mbumbu Ni wapi?

..uliowataja ni watoto wa vigogo.

..elimu yetu inahitaji maboresho.

..tatizo lenu MATAGA kila anachopendekeza TL lazima ikipinge.
 
Hii mifumo ya elimu iko kidunia, huo mfumo yeye anautoa wapi? Umefanikiwa majaribio wapi? Nani kamwambia majirani wako vizuri kuliko wabongo?

Lissu hebu nenda Congo Mali Bulgaria uone mining experts wakitanzania wanavyoheshimika, one of the best pilots wa emirates Ni miraj kikwete, nenda world bank utamkuta Miriam Salim, nenda who utakutana na Dr Mwale, wote Hawa wameanza shule humuhumu, hao mbumbu Ni wapi?
Pole sana, Miraji Kikwete anazaliwa Babake alikuwa na cheo gani Serikalini? Mpaka akapata hiyo kazi babake alikuwa na cheo gani serikalini? chuo alichomalizia masomo yake ada si chini ya milini 100 kwa mwaka, niambie ni watanzania wangapi wanaweza kulipa ada ya milioni 100 kwa mwaka?
 
Naunga mkono hoja . Elimu yetu inahitaji kufumuliwa upya kabisa.Tumezalisha watu ambao hawawezi ku compete hata kwenye jumuiya ya Africa Mashariki tu!!

Hongereni Chadema kwa kuleta hili.
Elimu ipi unaongelea? Mainijinia, madaktari,marubani? Hao waliosoma nchini mwetu udaktari,uinjini na urubani waweza compete sio soko la Afrika Mashariki tu Bali duniani pote

Wewe unaongelea waliosoma Nini hasa ambao hawawezi ku compete? Kama ni waliosoma sheria Kama Lisu hata Wakenya hawawezi compete hapa kwetu na sisi hatuwezi compete Kwao Ni too shallow kote
 
Wapinzani hawana hoja, hoja walikuwa nazo 2015 magu alivyoingia madarakani akazifanyia kazi hoja zao na sasa hawana pakushika.mpaka sasa lissu na team yake hawajui wakipewa nchi watafanya nini. Wanabaki kulialia uhuru na haki ,huo uhuru ambao anaweza akamtukana ata baba yake aende akaufanyie nyumbani kwao. Tanzania haijawahi kuwa na uhuru wa namna hiyo adi wa kumchokonoa mtu macho na akabaki anakuangalia tuu na sio Tanzania tuu, ni dunia nzima hakunaga.
 
Back
Top Bottom