CHADEMA, nashauri mboreshe App ya CHADEMA DIGITAL, kwani function ya uploading ya saini na picha haifanyi kazi

CHADEMA, nashauri mboreshe App ya CHADEMA DIGITAL, kwani function ya uploading ya saini na picha haifanyi kazi

CreativityCode

Senior Member
Joined
Aug 8, 2020
Posts
158
Reaction score
654
Ujumbe huu uwafikie kitengo cha IT cha CHADEMA.

Kama nilivyoandika siku najiunga na JamiiForums ni kuwa navutiwa na chama chenu, pia mgombea wenu kwa sababu ya sera zenu za kiliberali zinazohimiza uhuru wa fikra, ubunifu, haki za binadamu, demokrasia, diplomasia, biashara na soko huria, na globalization na mengine mengi yanayoendana na dunia ya kisasa, niliamua kujiunga rasmi na CHADEMA kupitia CHADEMA DIGITAL.

Lakini nimeona App bado haiwezi ku upload profile photo na saini, pia function ya malipo nayo haifanyi kazi vizuri.

Nawashauri kitengo cha IT mshughulikie haraka maana wengi tunahitaji huduma hii.

SHUKRANI.
 
Mwanahabari Huru lifanyieni kazi maana application haifanyi kazi vizuri.. it is not smooth. kama alivyosema mtoa thread. Nilimuunga jamaa majibu yalikuja baada ya siku tatu!
 
Back
Top Bottom