CHADEMA nayo ni biashara ya Mbowe?

CHADEMA nayo ni biashara ya Mbowe?

Kwa vyo
Mtu pekee anayeweza kuipigania Tanganyika ni lisu,ninawaomba Sana wajumbe twende na lisu
vyote itakavyokuwa, ashinde Mbowe au Lisu, taswira ya CDM kama chama cha upinzani imechafuka kwa kiwango cha kuwakatisha tamaa wanachama na wafuasi wake. Wengi wetu tuliweka matumaini yetu kwa CDM kama chama chenye nia ya dhati ya kumkomboa Mtz kuondoka na madhila ya watawala waovu (kakistocrcy). Ninapotafakari yanayojiri ndani ya CDM, na nikilinganisha na ODM ya Raila huko Kenya, ninafikia hitimisho moja: Mfumo wa demokrasia wa kimagharibi haufai Afrika, na kwamba kwa hali ilivyo, Tz inahitaji Traore wake.
 
Wewe ukiambiwa uikopeshe kampuni unayofanyia kaz mil 50 utarudishiwa utakubali?

Talking is easy...
Kama kuna makubaliano ya kugawana mapato hapo baadae, kuna shida gani? Na ukizingatia unazo kwa sasa, ni uwekezaji!
 
Ndipo mbaposhindwa kujua kuwa Mbowe ni mzaliwa wa familia ya kitajiri na hufanya mambo mengi kwa kujitolea na mara nyingi hutumia resources zake binafsi. Mbowe family inamiliki biashara nyingi zikiwemo hotels na estates kama hujui.
Angezaliwa family ya kitajiri asingeajiriwa BoT kama mgambo tofauti na Dr Mwigullu PhD aliyeajiriwa kama mchumi au Vicky Kamata Afisa Uhusiank 😂😂😂😂

Merry Christmas 🌹
 
1735150778893.png
 
Malezo ya Lissu ni kuwa, Mbowe alikuwa anakopa kupata fedha za kiugharamia kampeni(chopa,n.k) kisha chama kikipokea ruzuku, kinalipa hilo deni.
 
Angezaliwa family ya kitajiri asingeajiriwa BoT kama mgambo tofauti na Dr Mwigullu PhD aliyeajiriwa kama mchumi au Vicky Kamata Afisa Uhusiank 😂😂😂😂

Merry Christmas 🌹
Umepata wapi uongo huu?
 
Umechelewa sana kulijua hilo na nilikuwa najiuliza sana, hivi unahitaji kuwa genius kiasi gani kujua CDM is the scam, ni investment ya watu fulani kwa manufaa fulani.

Hata nilikuwa nashangaa eti watu hawajui kama wale COVID19 ni project pia ikisimamiwa na FAM aka Mr Chairman.

Uzuri wa Mbowe ni genius, smart ana exposure na ni mtoto wa mjini mwenye connections huku na kule, ni mafia pia.
Sifa hii ya Mbowe ndio imesababisha kuwablackmail watu wengi pale CDM kwa kuwapa maisha na power.
 
Umepata wapi uongo huu?
Nilikuwa nagonga crown beer pale Kilimanjaro na Freeman nikimuona na kirungu anarandaranda pale bank 😃

Haya mambo kwako ni Hadithi wahenga akina Pascal na Mrangi ova ndio wanaelewa
 
Hoja yako nini hapa Mkuu!
Wale wanaofikiri kuwa Mbowe kafuata pesa CDM hawajui wanaongea nini, Mbowe amekuja kupoteza pesa nyingi CDM angekuwa tajiri zaidi kama asingekuja fanya
Nilikuwa nagonga crown beer pale Kilimanjaro na Freeman nikimuona na kirungu anarandaranda pale bank 😃

Haya mambo kwako ni Hadithi wahenga akina Pascal na Mrangi ova ndio wanaelewa
Mmedanganyika.
 
Malezo ya Lissu ni kuwa, Mbowe alikuwa anakopa kupata fedha za kiugharamia kampeni(chopa,n.k) kisha chama kikipokea ruzuku, kinalipa hilo deni.
Mbowe alikuwa anapata 10% ya malipo ya hayo madeni?
 
Wale wanaofikiri kuwa Mbowe kafuata pesa CDM hawajui wanaongea nini, Mbowe amekuja kupoteza pesa nyingi CDM angekuwa tajiri zaidi kama asingekuja fanya

Mmedanganyika.
Wewe huko migombani ndio unajidanganya
 
Back
Top Bottom