Kwa vyo
vyote itakavyokuwa, ashinde Mbowe au Lisu, taswira ya CDM kama chama cha upinzani imechafuka kwa kiwango cha kuwakatisha tamaa wanachama na wafuasi wake. Wengi wetu tuliweka matumaini yetu kwa CDM kama chama chenye nia ya dhati ya kumkomboa Mtz kuondoka na madhila ya watawala waovu (kakistocrcy). Ninapotafakari yanayojiri ndani ya CDM, na nikilinganisha na ODM ya Raila huko Kenya, ninafikia hitimisho moja: Mfumo wa demokrasia wa kimagharibi haufai Afrika, na kwamba kwa hali ilivyo, Tz inahitaji Traore wake.Mtu pekee anayeweza kuipigania Tanganyika ni lisu,ninawaomba Sana wajumbe twende na lisu