CHADEMA ndani ya Domo la Chatu Siku ya Wanawake Kitaifa-Arusha

Wahivyo chukueni nyie,tuacheni tutatafuta na tunawakaribisha wote wenye nia na imani yenyewe kilisogeza taifa mbelešŸ¤”
Subiria majibu utayapata soon najua unakipenda sana chama lakini mambo ya hovyo hovyo kwenye chama unayaona ni halali.
 
Nawasalimu ndugu Watanganyika,

Hiyo kesho 8-3-2023 zitapigwa picha na video za kuombea mikopo kuwa Rais TZ ana practice Fair Democracy kwa kufungua Mkutano wa Women Wing Council ya Chama Kikuu cha Upinzani...
Ulichoeleza ni [emoji817]% na ndivyo itakavyokuwa, viongozi wamenunuliwa kwa dhamana ya maridhiano, wameanza kupokea ruzuku kwa maelewano ya Covid19 na mwisho patakuwa na marekebisho kiduchu ya katiba na hasa kwenye tume ya uchaguzi kwa kuhalalisha uchaguzi mchafu ambao utafanyika 2025 na utawarudisha viongozi wakuu wa CDM Bungeni na majimbo machache yataenda vyama vingine wakati majority kubwa ya wabunge itakuwa Ni CCM, Hawa viongozi wa CDM wameonyesha njaa ya matumbo yao Bora watolewe au kuwaachia chama kama Lipumba

Haiwezekani MTU mzima ukawa blackmailed kitoto hivyo na kujidhalilisha sawa na MTU anayeambiwa vua nguo mchana kwenye halaiki na utembee uchi halafu kweli unatimiza na kupewa kitita cha mamilioni kadhaa kwa matumizi
 
Chadema ni akili tupu!
 
Wewe ni kila.za!
Hujui kuwa CHADEMA iligomea kupokea ruzuku kwa kuwa hawakutambua ushindi wa Rais Magufuli?!
Hao Wabunge wao wa viti maalum hawakuwatambua mpaka leo na ruzuku hutokana na Wabunge !

Sasa kama wamechukua ruzuku yao wanaachaje kuwatambua Wabunge wao wanaoleta hiyo ruzuku chamani?!

Nimeshawambia CHADEMA sasa hivi ni Bedroom ya CCM, period!
 
Yaani ww ndo pimbi kweli kweli, ruzuku inatokana na viti maalumu??? ruzuku inatokana na idadi ya kura za Urais , acha kuanika ujinga wako hapa ... Wale Covid 19 ni matokeo ya kura za Urais pia, kwahiyo kuchukua ruzuku hakuhusiani na Covid 19...
 
Yaani ww ndo pimbi kweli kweli, ruzuku inatokana na viti maalumu??? ruzuku inatokana na idadi ya kura za Urais , acha kuanika ujinga wako hapa ... Wale Covid 19 ni matokeo ya kura za Urais pia, kwahiyo kuchukua ruzuku hakuhusiani na Covid 19...
Huyo bado hajakua ki-upeo, naona atakuwa miongoni mwa wale wanaoongezeka mwili kila siku.
 
Sukuma Gang kama vipi rudini kwenu Burundi mlikozoea kuchinjana

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 

Nakumbuka wakati ACT inajimega kutoka CHADEMA Kuna mwandishi wa habari akasema CHADEMA imefikia mwisho. Lakini mpaka leo chadema ipo. CHADEMA imeshavuka viunzi vya kufa. Kwa Sasa ni maendeleo ya kisiasa.
 

Punguza uongo ruzuku hailetwi na hao viti maalum Bali kura za urais.
 
CHADEMA walikosea sana kumfukuza Zito Kabwe kuna siku watamkumbuka.
Heeee!!zitto kabwe watu walishamsahau kama hata aliwahi kupita CDM!!!leo unaleta habari zake,Alitoka dr.slaa na chama kipo imala itakuwa huyo?!!JIWE amejaribu kukiua ametangulia yeye!!Mama anawaonyesha siasa sio uadui na mbona ataongoza vizuri tu,na sasa cdm ndio kinaenda kuwa bunge la wananchi kwa kuwasemea!!CCM hasa wabunge 2025 watakuwa na wakati mgumu sana majimboni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…