CHADEMA ndani ya Domo la Chatu Siku ya Wanawake Kitaifa-Arusha

Kwa mlungura huu walioupata kwa mama,ngoja tusubiri.
 
Mbowe hoyeeeeee! Nimeamini Mbowe ni fundi wa siasa za nchi hii na amani yetu kila wakati hata wakati wa dikteta ilitegemea mno weledi na umahiri wa Mbowe, la sivyo nchi hii ingekuwa kama Congo saa hii. Mbowe ubarikiwe sana!
 
Kivipi? Nyie si mnasema yakiitishwa maandamano watu hawatokei ndio maana mmechagua maridhiano?
 
Je Ccm mnaodai wanaiba kura toka 95 wataacha kuiba? au ilikua porojo?

Yaan naona kabisa kwenye urais mmejitoa wala amtaki hiyo nafasi
 
Mbowe hoyeeeeee! Nimeamini Mbowe ni fundi wa siasa za nchi hii na amani yetu kila wakati hata wakati wa dikteta ilitegemea mno weledi na umahiri wa Mbowe, la sivyo nchi hii ingekuwa kama Congo saa hii. Mbowe ubarikiwe sana!

Yaan jiwe mbele yake pawe kama kongo? wewe jina lako tu umeficha mpaka leo[emoji23]

Keyboar worr.. bladf[emoji2957]
 
KWA lipi? kuna mtu mkubwa kuliko chama? CCM tumefukuza wangapi?
ULIWAHI kujua POLEPOLE, KINANA na kampani yake wote wangetemwa?
Mambo yanavyoenda si shwari labda mtu mwenye upeo na uchungu na Watanzania ni John Heche.
 
Wewe si ni kamanda?
Mimi ni Mtanzania ukienda kinyume nikulinde kisa kamanda hilo halipo kwangu na ndiyo maana hata kwenye Serikali hii inayoongozwa na Chama cha Mapinduzi huwa najaribu kutetea kuanzia awamu ya kwanza hadi ya nne lakini awamu ya tano na sita simo kabisa.
 
KAULI MAARUFU

MAMA ATAWAACHIA MAJIMBO KADHAA

Swali la Msingi.. Anaegawa majimbo ni Rais au?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…