CHADEMA ndani ya mioyo ya CCM, siasa si ugomvi. No reforms no election inatuhusu sote!

Kwa hali hii:

View attachment 3228911

Sote ni ndugu kwa nini tusiwe na agenda moja za haki?

Duniani sote wapita njia.
My friends ladies and gentlemen,

hamna haja ya kubaishwa na scene za Artificial Intelligence na mkababaika kiasi hicho,

agenda ya Taifa 2025-2030 ni Dr.Samia Suluhu Hassan, na agenda ya Taifa kwa mwaka 2030-2040 ni Dr Emanuel Nchimbi, Full stop.πŸ’
 
chiembe Tia neno Mkuu wangu πŸ˜‚
Tlaatlaah chawa uliegeuka Siafu Sema lolote kwa Mossad huyuπŸ˜‚
ni muhimu zaidi kujiepusha kubabaika na kuhadaishwa na na technolojia.

Agenda ya Taifa ambayo imewanganisha waTanzania kwa mamilioni yao ni Dr.Samia Suluhu Hassan na Dr.Emmanuel Nchimbi mitano tena,

kinyume na hapo ni kupoteza muda tu gentleman πŸ’
 

Kwani wewe usingependa tuwe wamoja?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…