Egnecious
JF-Expert Member
- Jul 8, 2015
- 899
- 999
MNYIKA unadai Bajeti ya katika mpya kwenye Serikali Ipi? nyinyi hamuitambui Serikali lakini mnataka bajeti iweke takwa lenu,kwanza mnachopaswa ni kuitambua Serikali halali ya awamu ya sita kisha mkae chini kwenye maridhiano haya mengine yote yatafanyika ama lah endeleeni na siasa zenu za kuhamasisha vurugu.
Kwanza Katiba mpya ni takwa la lenu nyinyi wanasiasa na sio Wananchi,Hitaji la Watanzania kwa kipindi hiki ni maendeleo na uwezeshwaji ili waweze kujikwamua kimaisha.
Serikali itawekaje bajeti ya katiba mpya wakati mmegoma kwenda kwenye maridhiano,hivyo tulieni as long as suala hili lipo kwenye ilani ya CCM 2025-2030 litapangiwa bajeti mwaka wowote ndani ya kipindi hiki cha utekelezwaji wa Ilani inayoongoza Nchi kama alivyoelekeza Rais Full Stop.