CHADEMA nendeni kwenye maridhiano ndipo mdai Katiba Mpya

Unataka tuingie kwenye maridhiano ili tuweke saini ya kuifunga midomo yetu kabla ya kupata haki yetu?
 
MNYIKA unadai Bajeti ya katika mpya kwenye Serikali Ipi? nyinyi hamuitambui Serikali lakini mnataka bajeti iweke takwa lenu,kwanza mnachopaswa ni kuitambua Serikali halali ya awamu ya sita kisha mkae chini kwenye maridhiano haya mengine yote yatafanyika ama lah endeleeni na siasa zenu za kuhamasisha vurugu.

Kwanza Katiba mpya ni takwa la lenu nyinyi wanasiasa na sio Wananchi,Hitaji la Watanzania kwa kipindi hiki ni maendeleo na uwezeshwaji ili waweze kujikwamua kimaisha.

Serikali itawekaje bajeti ya katiba mpya wakati mmegoma kwenda kwenye maridhiano,hivyo tulieni as long as suala hili lipo kwenye ilani ya CCM 2025-2030 litapangiwa bajeti mwaka wowote ndani ya kipindi hiki cha utekelezwaji wa Ilani inayoongoza Nchi kama alivyoelekeza Rais Full Stop.
Huna akili
 
Pesa ni za umma sio za serekali.
 
Kwa hiyo katiba mpya wanaoitaka ni chadema mlivyo na akili za kipimbi...katiba mpya ni takwa la wananchi...walioandamana na hata report yenu hovyo ya chand imesema hili ni takwa la wananchi...nyie mnafikir mwanadamu ni kiumbe chepesi cha kutishiwa na silaha...mnajitafutia maafa nyie ..jifunzeni kwa nchi zingine dunian waliokataa kusikiliza matakwa ya wananchi
 
Back
Top Bottom