johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Sisi ndio waasisi wa Chadema pale kisutu majamatini kwa rip Ndesamburo.Ukilala ukiamka we ni cdm tu
Ova
Swali alilo uliza linahitaji majibu kwa fact sio kuachama na maneno kudondoka. Wewe umejibu kwa shali Wakati ameuliza kwa nia ya kuhitaji kufahamu. Si bora ungekaa kimya kama sisi wengine ambao hatuna majibu tunasubiria wenye uelewa wa hili watoe majibu. Tanzania sijui akili zetu zilienda wapiKisingekuwa chma kikuu cha upinzani wala usingekiwaza na mwenyekiti wako asingetumia kila aina ya silaha na nguvu kubwa hivyo kukiangamiza. Pili kumbuka kuwa ACT mmeshaungana nao huko serikalini
Sasa kwanini unatesekaChadema ni chama chetu bwashee!
Sasa mbona bungeni hamna KUB?Isipende kionekana mjinga. Ungeuliza kimya kimya.
Mnyika haja kosea wala haja ongea uongo. Kuwa na wabunge haikupi tiketi ya kuwa chama cha upinzani. Kinacho kupa hiyo nafasi ni asilimia ya kura alizo pata mgombea urais. Pole kwa kuwa gizani
Nadhani wewe ndio unateseka.Sasa kwanini unateseka
Maendeleo yana chamaNadhani wewe ndio unateseka.
Maendeleo hayana vyama!
Niliona picha ya Zitto Kabwe akiwa Ikulu ya Zanzibar!Kama kusoma hujui hata picha huoni?
Mimi nafikiri ungemjibu kistaarabu angeelewa pia. Ushampatia jibu tayari kwenye asilimia japo kwa mbinde 😂Isipende kionekana mjinga. Ungeuliza kimya kimya.
Mnyika haja kosea wala haja ongea uongo. Kuwa na wabunge haikupi tiketi ya kuwa chama cha upinzani. Kinacho kupa hiyo nafasi ni asilimia ya kura alizo pata mgombea urais. Pole kwa kuwa gizani
Hahahaaaa! Bwashee hao Bavicha lazima watukane kabla ya kuingia kwenye hoja!Mimi nafikiri ungemjibu kistaarabu angeelewa pia. Ushampatia jibu tayari kwenye asilimia japo kwa mbinde 😂
Unajua chadema ilipata kura ngapi kwenye uchafuzi mkuu wa 2020? Au unabwabwaja tuSwali alilo uliza linahitaji majibu kwa fact sio kuachama na maneno kudondoka. Wewe umejibu kwa shali Wakati ameuliza kwa nia ya kuhitaji kufahamu. Si bora ungekaa kimya kama sisi wengine ambao hatuna majibu tunasubiria wenye uelewa wa hili watoe majibu. Tanzania sijui akili zetu zilienda wapi
Unauliza kijinga sana. Ni kwa sababu ni mjinga. CHADEMA walipata ridhaa ya wananchi wakaporwa na vyombo vya dola kukisaidia marehemu CCM.ACT Wazalendo ina wabunge 4 wa kuchaguliwa.
CHADEMA ina mbunge mmoja wa kuchaguliwa
CUF ina mbunge mmoja wa kuchaguliwa.
CHADEMA haina mbunge wabunge wa viti maalumu wanadai walishawafukuza.
J J Mnyika anasema CHADEMA ina wajibu kama chama kikuu cha upinzani.
Ndio nauliza CHADEMA ni chama kikuu cha upinzani kwa vigezo gani?
Kuuliza siyo ujinga
Maendeleo hayana vyama!