KALIMIMBILI
JF-Expert Member
- Jan 26, 2021
- 205
- 362
Kuwa na wabunge waliopita kwa vigezo vya rushwa hakukipi uhai chama fulani na kuua chama fulani,kigezo cha uhai wa chama ni taasisi iliyopo kwenye chama hicho ambapo hakitegemei rushwa,mtu,sifa za kijinga bali kinalinda katiba yake 100% huu ndio msingi wa CHADEMA (CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO)UHURU NA WATU,WATU NA MAENDELEO.ACT Wazalendo ina wabunge 4 wa kuchaguliwa.
CHADEMA ina mbunge mmoja wa kuchaguliwa
CUF ina mbunge mmoja wa kuchaguliwa.
CHADEMA haina mbunge wabunge wa viti maalumu wanadai walishawafukuza.
J J Mnyika anasema CHADEMA ina wajibu kama chama kikuu cha upinzani.
Ndio nauliza CHADEMA ni chama kikuu cha upinzani kwa vigezo gani?
Kuuliza siyo ujinga
Maendeleo hayana vyama!