CHADEMA ni chama Kikuu cha Upinzani kwa vigezo gani?

Kuwa na wabunge waliopita kwa vigezo vya rushwa hakukipi uhai chama fulani na kuua chama fulani,kigezo cha uhai wa chama ni taasisi iliyopo kwenye chama hicho ambapo hakitegemei rushwa,mtu,sifa za kijinga bali kinalinda katiba yake 100% huu ndio msingi wa CHADEMA (CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO)UHURU NA WATU,WATU NA MAENDELEO.
 
Kigezo ni kura, mpuuzi wewe
 
Katika uchaguzi mkuu wa rais uliopita walipata zaidi ya 5% ya kura na hakuna chama kingine kilichopata zaidi ya hizo.
 
Ukishakuwa na tatizo la kutojiamini hata akipita kuku mbele yako utamuona anakuringia.
 
Inaweza kuwa katika ligi timu mojawapo kati ya Simba na Yanga inaongoza ligi na nyingine ni ya tisa katika msimamo wa ligi, na wakati huo huo kuna timu zinafuatia kwa ile ya kwanza.
Lakini bado hiyo haiondoi ushindani wa timu mbili hizo na hapo ndipo anapatikana mpinzani mkuu.
 
Kuwa na wabunge waliopita kwa vigezo vya rushwa hakukipi uhai chama fulani na kuua chama fulani,kigezo cha uhai wa chama ni taasisi iliyopo kwenye chama hicho ambapo hakitegemei rushwa,mtu,sifa za kijinga bali kinalinda katiba yake 100% huu ndio msingi wa CHADEMA (CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO)UHURU NA WATU,WATU NA MAENDELEO.
Lile ni genge la wahuni
kama lile la chato siyo?
 
Kigezo kikubwa ni hizi post zako za kuwaandama.
 
UmekaaJe kimya huku unazungumza ![emoji102].
 
Ubelgiji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…