Resilience
JF-Expert Member
- Jan 4, 2023
- 1,096
- 4,948
Naona baada ya Mwanza SASA NI Simiyu to Mara, wananchi wanaonekana walikuwa na kiu Kali Sana. Tofauti na msafara wa Mhe. Rais hakuna mapokezi mengine yanayofanywa na wananchi Kwa wingi huu. Si Katibu Mkuu CCM wala Makamu Mwenyekiti, voluntary show up inaridhisha natumaini kwamba mama ameifungua nchi na sasa wote tuna Haki ya kusema na kusikilizwa.
Hongera mlioamua kurudisha Hali hii ya siasa inayochangia wananchi kupumua na kucheua. Kwa Hali hii sasa chuki zitapungua na roho mbaya za visasi zitapungua pia.
Kipindi kilichopita kuonekana na Bango usiku utakutana na wasiojulikana, Leo wananchi wamekaa na mabango mitaani wanaweza Kero Kwa viongozi WA kisiasa.
Siasa hizi zina faida kubwa hata ndani ya CCM Kwa Sababu wapo watu wengi wakinyimwa Haki ya kufanya siasa kisa Tu Mwenyekiti amepelekewa majungu.
Mama tupe katiba mpya usubiri tuzo ya Noble