Enzi za Jpm ange organize wahuni wadhibiti mkutano.Msalimieni Nassary hapo Bunda.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Enzi za Jpm ange organize wahuni wadhibiti mkutano.Msalimieni Nassary hapo Bunda.
Watatukana zaidi ya Mdude nyangali🤣🤣Najua muda sio mrefu ccm na chawa wataanza matusi majukwaani
Kama chama hakijafa kwa ile organized crime against Chadema basi tena.Watu wamechoka, Kama Magufuli hakuiua chadema, Johnthebaptist, chadema haitakufa! Na Risasi zote lakini bado watu wamo tu!