R Rasterman JF-Expert Member Joined Feb 24, 2015 Posts 33,894 Reaction score 44,117 Jan 22, 2023 #21 Halaiser said: Msalimieni Nassary hapo Bunda. Click to expand... Enzi za Jpm ange organize wahuni wadhibiti mkutano.
Halaiser said: Msalimieni Nassary hapo Bunda. Click to expand... Enzi za Jpm ange organize wahuni wadhibiti mkutano.
R Rasterman JF-Expert Member Joined Feb 24, 2015 Posts 33,894 Reaction score 44,117 Jan 22, 2023 #22 technically said: Najua muda sio mrefu ccm na chawa wataanza matusi majukwaani Click to expand... Watatukana zaidi ya Mdude nyangali🤣🤣
technically said: Najua muda sio mrefu ccm na chawa wataanza matusi majukwaani Click to expand... Watatukana zaidi ya Mdude nyangali🤣🤣
R Rasterman JF-Expert Member Joined Feb 24, 2015 Posts 33,894 Reaction score 44,117 Jan 22, 2023 #23 Retired said: Watu wamechoka, Kama Magufuli hakuiua chadema, Johnthebaptist, chadema haitakufa! Na Risasi zote lakini bado watu wamo tu! Click to expand... Kama chama hakijafa kwa ile organized crime against Chadema basi tena.
Retired said: Watu wamechoka, Kama Magufuli hakuiua chadema, Johnthebaptist, chadema haitakufa! Na Risasi zote lakini bado watu wamo tu! Click to expand... Kama chama hakijafa kwa ile organized crime against Chadema basi tena.