Lituye
JF-Expert Member
- Dec 27, 2015
- 1,864
- 5,695
Babu unajitahidi sana kujipendekeza kwa kutumia Chadema ili upate uteuzi pole sana.Hii KATIBA imezalisha taifa la watu wa hovyo sana mazezeta yasiyo taka kufanya kazi za halali wanasubiri teuzi kufanya siasa za Umalaya malayatuu.Tena ni afadhali angalau rufaa hii imeweza kusikilizwa baada ya naniliu kupewa fedha za kuitisha kikao hiki na nanilii!, Mamlaka ya rufaa ya NKM na M/Bawacha ni Baraza Kuu. Zitto alitimuliwa na CC ya Chadema, bila kuitishwa kabisa Baraza Kuu at all!. Kwa Halima Mdee ambaye Baraza Kuu, ndio Mamlaka yake ya nidhamu, haijapelekewa mashitaka yoyote ya Mdee!.
Kiukweli safari ya Upinzani Tanzania, bado ni ndefu!.
P