msonobali
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 1,521
- 1,607
Kwahiyo we unapenda matusi sanaTukutajie mzigo alipewa nani? Kwa mnavojiona unadhani mlikua na uwezo wa kuitisha baraza kuu bila kufadhiliwa au unadhani mlivoambiwa muache matusi mitandaoni ni bahati mbaya?