Kwahiyo we unapenda matusi sanaTukutajie mzigo alipewa nani? Kwa mnavojiona unadhani mlikua na uwezo wa kuitisha baraza kuu bila kufadhiliwa au unadhani mlivoambiwa muache matusi mitandaoni ni bahati mbaya?
So?Tena ni afadhali angalau rufaa hii imeweza kusikilizwa baada ya naniliu kupewa fedha za kuitisha kikao hiki na nanilii!
Mamlaka ya rufaa ya NKM na M/Bawacha ni Baraza Kuu. Zitto alitimuliwa na CC ya Chadema, bila kuitishwa kabisa Baraza Kuu at all!. Kwa Halima Mdee ambaye Baraza Kuu, ndio Mamlaka yake ya nidhamu, haijapelekewa mashitaka yoyote ya Mdee!.
Kiukweli safari ya Upinzani Tanzania, bado ni ndefu!.
P
Na wale waliomuandikia supika barua ya kustaafu?Tena ni afadhali angalau rufaa hii imeweza kusikilizwa baada ya naniliu kupewa fedha za kuitisha kikao hiki na nanilii!
Mamlaka ya rufaa ya NKM na M/Bawacha ni Baraza Kuu. Zitto alitimuliwa na CC ya Chadema, bila kuitishwa kabisa Baraza Kuu at all!. Kwa Halima Mdee ambaye Baraza Kuu, ndio Mamlaka yake ya nidhamu, haijapelekewa mashitaka yoyote ya Mdee!.
Kiukweli safari ya Upinzani Tanzania, bado ni ndefu!.
P
Baada ya katiba kuvunjwa ya spika kuruhusu wabunge 19 wasio na chama bungeni, uyo msajili aliingilia kati?Ni lazima Msajili wa vyama vya siasa nchini aingilie Kati suala hili.
Hawa akina Halima Mdee na wenzake wamesubiri takribani miaka miwili Rufaa zao kusikilizwa hii si sawa kabisa.
Mambo kama haya huwezi kuyaona CCM
Aah, kumbe 🤔🤔Tena ni afadhali angalau rufaa hii imeweza kusikilizwa baada ya naniliu kupewa fedha za kuitisha kikao hiki na nanilii!
Mkuu Paskali! Nikukumbushe Mwl alilitumia hili neno kwa wanasiasa wenye kariba ya hawa waliofukuzwa. Nadhani ni sahihi tu kisiasaHeshima ni kitu cha bure, makamanda walio ipigania na kuigharimia Chadema kwa machozi jasho na damu, kuwaita mala...sio kuwatendea haki!.
P
Aliyewahi kufukuzwa uanachama akaenda nahakamani wakamrejesha na akawa mwanachama kamili ni nani, watakaoenda mahakamani lengo lao ni kuendelea kutuibia watz.Yaan mwenyenyumba akufukuze kwake halafu ukimbilie mahakamani ukidhani utaishi pale salama, hilo huwa ni suala muda tu.Naona kama mnaelekea mahakamani
Msajili wa vyama hawapangii chadema mambo yao ya ndani ya chama.Ni lazima Msajili wa vyama vya siasa nchini aingilie Kati suala hili.
Hawa akina Halima Mdee na wenzake wamesubiri takribani miaka miwili Rufaa zao kusikilizwa hii si sawa kabisa.
Mambo kama haya huwezi kuyaona CCM
Ukisikia ushankupe ndio huu sasaTena ni afadhali angalau rufaa hii imeweza kusikilizwa baada ya naniliu kupewa fedha za kuitisha kikao hiki na nanilii!
Mamlaka ya rufaa ya NKM na M/Bawacha ni Baraza Kuu. Zitto alitimuliwa na CC ya Chadema, bila kuitishwa kabisa Baraza Kuu at all!. Kwa Halima Mdee ambaye Baraza Kuu, ndio Mamlaka yake ya nidhamu, haijapelekewa mashitaka yoyote ya Mdee!.
Kiukweli safari ya Upinzani Tanzania, bado ni ndefu!.
P
Nawe Ni takatakaNi lazima Msajili wa vyama vya siasa nchini aingilie Kati suala hili.
Hawa akina Halima Mdee na wenzake wamesubiri takribani miaka miwili Rufaa zao kusikilizwa hii si sawa kabisa.
Mambo kama haya huwezi kuyaona CCM
Takataka tupu kichwani kwako. Failure to get appointment Sasa unawayawayaTena ni afadhali angalau rufaa hii imeweza kusikilizwa baada ya naniliu kupewa fedha za kuitisha kikao hiki na nanilii!
Mamlaka ya rufaa ya NKM na M/Bawacha ni Baraza Kuu. Zitto alitimuliwa na CC ya Chadema, bila kuitishwa kabisa Baraza Kuu at all!. Kwa Halima Mdee ambaye Baraza Kuu, ndio Mamlaka yake ya nidhamu, haijapelekewa mashitaka yoyote ya Mdee!.
Kiukweli safari ya Upinzani Tanzania, bado ni ndefu!.
P
Ujuaji mwingi mpaka unajidharilisha, umesoma katiba ya Chadema au unaandika mawazo yako tu!?Tena ni afadhali angalau rufaa hii imeweza kusikilizwa baada ya naniliu kupewa fedha za kuitisha kikao hiki na nanilii!
Mamlaka ya rufaa ya NKM na M/Bawacha ni Baraza Kuu. Zitto alitimuliwa na CC ya Chadema, bila kuitishwa kabisa Baraza Kuu at all!. Kwa Halima Mdee ambaye Baraza Kuu, ndio Mamlaka yake ya nidhamu, haijapelekewa mashitaka yoyote ya Mdee!.
Kiukweli safari ya Upinzani Tanzania, bado ni ndefu!.
P
Tena ni afadhali angalau rufaa hii imeweza kusikilizwa baada ya naniliu kupewa fedha za kuitisha kikao hiki na nanilii!
Mamlaka ya rufaa ya NKM na M/Bawacha ni Baraza Kuu. Zitto alitimuliwa na CC ya Chadema, bila kuitishwa kabisa Baraza Kuu at all!. Kwa Halima Mdee ambaye Baraza Kuu, ndio Mamlaka yake ya nidhamu, haijapelekewa mashitaka yoyote ya Mdee!.
Kiukweli safari ya Upinzani Tanzania, bado ni ndefu!.
P
Sababu ya Rufaa zote zinazopaswa kusikilizwa na baraza kuu kuchelewa zinalenga kuwaandaa wajumbe wa baraza hilo kukubaliana na uamuzi uliotolewa Bila kuhojiNi lazima Msajili wa vyama vya siasa nchini aingilie Kati suala hili.
Hawa akina Halima Mdee na wenzake wamesubiri takribani miaka miwili Rufaa zao kusikilizwa hii si sawa kabisa.
Mambo kama haya huwezi kuyaona CCM
Mashtaka waliyasoma kwenye mtandao na viongozi kuzungumzia kwenye mikutano mbali mbaliTena ni afadhali angalau rufaa hii imeweza kusikilizwa baada ya naniliu kupewa fedha za kuitisha kikao hiki na nanilii!
Mamlaka ya rufaa ya NKM na M/Bawacha ni Baraza Kuu. Zitto alitimuliwa na CC ya Chadema, bila kuitishwa kabisa Baraza Kuu at all!. Kwa Halima Mdee ambaye Baraza Kuu, ndio Mamlaka yake ya nidhamu, haijapelekewa mashitaka yoyote ya Mdee!.
Kiukweli safari ya Upinzani Tanzania, bado ni ndefu!.
P
Barua za kiofisi sio lazima zote zisainiwe na KM, nyingine zinasainiwa kwa niaba na watu wanaoitwa office bearers. Hivyo the forms were duly signed, with bonafide genuine letters. Hakuna forgery yoyote ndio maana Chadema hawajaripoti forgery yoyote, popote.1. Nani alisaini nyaraka zao, nani alijaza fomu kwa Niaba ya Katibu Mkuu wa Chadema?
Walipewa na aliyewapa, ni a bonafide genuine office bearers.2. Nani aliwapa barua za uteuzi na fomu namba 12C ambazo zinatakiwa kusainiwa na Katibu Mkuu wa Chama cha siasa?
Mahabusu sio mfungwa anaweza kufanya kila kitu isipokuwa uhuru wake.3. Nusrat Hanje alikuwa gerezani, kwa kuzingatia sheria za magereza utaratibu upi ulitumika na aliwezaje kujaza fomu za kugombea Ubunge?.
Unauthibitisho wowote?. Forgery ni jinai, hakuna forgery yoyote ndio maana Chadema hawajaripoti forgery yoyote popote.4. Je kwanini walitumia nyaraka za kugushi kwa kushirikiana na NEC ili wateuliwe kuwa wabunge?
Hili ndio nasikia kwako, kama unauthibisho peleka kunako husika.5. Kwa utaratibu upi Hawa Mwaifunga, Kunti Yusuph na Grace Tendega walishirikiana na Katibu wa Bunge wa CCM katika kuandaa orodha ya majina ya wabunge hao?
Kama watafukuzwa kihalali. Jee walifukuzwa kihalali?. Karibu mabandiko matatu haya ujifunze zaidi6 . Ni kwanini Spika Job Ndugai aliendelea kuwakumbatia Kinyume na Katiba ya JMT ibara ya 71(1)(e), ambayo imetamka wazi kuwa Mbunge atapoteza sifa za kuwa Mbunge kama atafukuzwa uanachama na Chama chake cha siasa?