CHADEMA ni kundi La Nzige

Maembe huwa yanaliwa tu au si mkuu.

Yees! maembe yanaliwa ndio maana mti wenye "Maembe mengi ndio hupopolea mawe" kwa saaana! hii ni semantic tu; usijielekeze sana kwenye maembe; matunda kama maembe! tafakari; use your gumption! utapata jibu kwa nini watu wengi wanahangaika kuipopoa mawe CDM!
 
Nimekuwa nikiwafuatilia hawa watu hasa viongozi na vijana wao hawana nia njema na watanzania,wanaendeshwa na mihemuko ya Siasa, vurugu ,unafiki na Matusi pamoja na uongo.Kwa matendo yao watanzania tuwahukumu na kamwe tusiwqpe nafasi ya kutuongoza!
Vipi Umeshatoka kwenye kile choo cha shimo??
 
Hivi unaweza kuondoka nyumbani eti unaenda kuwapigia kura CHADEMA? Ni uwendawazimu wa hali ya juu,

Kwa maslahi mapana ya Taifa letu, hawa CHADEMA tuendelee kuwaepuka!

Kama propaganda hata sisi tunazijua. Endeleeni kujidanganya hata Gadaffi alikuwa haamini kama anashindwa mpaka alipokuwa mtaroni. Mnatapatapa na vijana tumejiandikisha kwa wingi mtakoma kiama chenu very soon
 
Unarukaruka tu mtaalamu wa Fasihi,nenda kafundishe,maembe huliwa tu hata kama hutaki.
 
Kama propaganda hata sisi tunazijua. Endeleeni kujidanganya hata Gadaffi alikuwa haamini kama anashindwa mpaka alipokuwa mtaroni. Mnatapatapa na vijana tumejiandikisha kwa wingi mtakoma kiama chenu very soon

Dogo aka Buguruni team naon uko lindo teh teh teh hizo propaganda peleka Uscotch aliko babu.
 
Mmeacha kudiscuss ishu za maana za nchi hii na ufisadi unaoikumba nchi hii kutokana na uongozi mbovu wa serikali mnashabikia siasa za vyama.
Enewei, kwani serikali iliyopo madarakani kwa sasa ni serikali ya chama gani tenaaaa?
 
Issue hapo sio Serikali ya chama gani,msumeno unakata kotekote tulia CDM member ukatwe acha kurukaruka muulize boss wenu nyie watetezi wa wanyonge Mbona mmefisadi Ruzuku?kama unabisha pitia ripoti ya CAG NI NZIGE TU.
 
Moja, Sidhani kama CDM wanaweza kuwazidi magamba kwenye ufisadi ndani ya nchi hii.
Pili, sidhani kama una ushahidi na vithibitisho kama ambavyo ushahidi dhidi ya serikali ya CCM ulivyojaa kila kona.
Tatu, anika facts na vielelezo na acha hizo facts zipige kelele zenyewe.
 
Vipi Umeshatoka kwenye kile choo cha shimo??

Ka ka Ka! unakumbukia mambo yako halafu unatujulisha tujue unachofanya eee! Hekima kwanza ungekaa kimya kuliko kujianika best. Katembee hata vile vya kulipia tu anagalau uone na kuosha macho kidogo. Kaaa! shimo? Hatari!
 
Hudhani ha ha ha kumbe naongea na mtu asiyejua anachangia nini kama huelewi kamuulize Makene,msemaji wenu atakuambia Ufisadi wa CDM uko wapi afu leo wanasimama kwenye majukwaamkupinga ufisadi wakati wao ni Nzige wa Ruzuku wanayopewa na Serikali ya CCmM hiyo tu yatosha kuwajibika!Ama kweli nyani haoni ..........ll!!!!
 
Anika facts na vielelezo na acha hizo facts zipige kelele zenyewe.
Mbona scandal zenu za Escrow, Richmond na madubwasha mengine kadha wa kadha ushahidi vielelzo vilitolewa.
Iweje we ushindwe kutoa vielelezo vya scandal hii ndogo unayoishabikia mkuu?
 
Nimekuwa nikiwafuatilia hawa watu hasa viongozi na vijana wao hawana nia njema na watanzania,wanaendeshwa na mihemuko ya Siasa, vurugu ,unafiki na Matusi pamoja na uongo.Kwa matendo yao watanzania tuwahukumu na kamwe tusiwqpe nafasi ya kutuongoza!
CCM NI VIBAKA TU by makongoro
 
Issue hapo sio Serikali ya chama gani,msumeno unakata kotekote tulia CDM member ukatwe acha kurukaruka muulize boss wenu nyie watetezi wa wanyonge Mbona mmefisadi Ruzuku?kama unabisha pitia ripoti ya CAG NI NZIGE TU.
Watatukana sana maana wameishiwa point. Wamechanganyikiwa wanaopoka hovyo hovyo tu kama mfa maji or CDM wamekua hivi wamekua vile, kwani mmeambiwa ni ushabiki au sera? Subirini October makelele ya nini
 
Mwehu wewe ndo umeongea nini hapo?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…