Haya maneno hata kwenye kanga yapo kibao!!Tena wewe umekosea ungeweka na picha yangu kabisa ndo ninekuona mjanja badala yake unaishia kucopy kwenye akaunt ku- verify ukomo wa uwezo wako!!
You are good for the archives kama jina lako Kinje; Niliona kama ulisema umekoma hutaki kupoteza muda? so you are back?!
ku-relate to your forum particulars ni kukuonyesha kuwa kwa vigezo hivyo you are still too green; a fresher; A rookie for that matter; to weigh in on anything of substance on this forum; Ukikua utaelewa.