CHADEMA ni kundi La Nzige

utakuwa bado hujanywa maji ya bendera ,ccm si mama yangu wala baba yangu ,by j.k nyerere
Shida ya wachumia matumbo vijana wa chadema kwanza hunywa viroba asubuhi asubuhi ndo maana wanachokiandika ni povu tupu! Ona upuuzi uloweka hapo wewe kibaraka wa Ukawa
 
Watatukana sana maana wameishiwa point. Wamechanganyikiwa wanaopoka hovyo hovyo tu kama mfa maji or CDM wamekua hivi wamekua vile, kwani mmeambiwa ni ushabiki au sera? Subirini October makelele ya nini
Wewe barking dog, kojoa ukalalwe, unabwabwaja bwabwaja upuuzi gani hapo?! Weka hoja acha ushabiki, Chadema njaa inawasumbua, october itafika na hamtaambulia kitu, maana kila mwaka wa uchaguzi ukifika maneno yenu ndo hayo hayo hata kwenye khanga yamo.
 
Mtu kutoka kaole Sanaa group (Zembwela) hawezi kunielewa!! ndio maana unajitambulisha kama jay Millionea! Bs

Hoja ndiyo msingi wa majadiliano. Wachangiaji jifunzeni kujenga hoja ili kuwa na mjadala wenye tija kwa wasomaji wa JF.
 
Hoja ndiyo msingi wa majadiliano. Wachangiaji jifunzeni kujenga hoja ili kuwa na mjadala wenye tija kwa wasomaji wa JF.

To every action there is an equal and opposite reaction" Newtons 3rd law of motion. kama hujui hilo rudi darasani! Mtu akija na hoja ya kipuuzi; hususani yenye utusi na kashfa atajibiwa in kind; anayekuja na hoja yenye maana na kuiwakilisha kiungwana atajibiwa kisomi na kiungwana pia; kumbuka what goes around; comes around, kama hulijui hilo pia; rudi kindergarten!
 

Wa kurudi darasani haya, ila Muungwana ni vitendo, tujali utu wetu, tuwajali wasomaji wetu, tusiwafukuze wasomaji hao kwa lugha za matusi, kejeli na vitu kama hivyo. Busara hainunuliwi dukani. Tunayoyazungumza humu JF yajali misingi ya utu na udugu, amani na utulivu, umoja na mshikamano katika nyanja zote za maisha.
 

Hahahahahahahahha kaka CHADEMA sio chama cha siasa kaka wale wanaharakati na wasitegemee uwanaharakati wao wananchi tutawaelewa na kuwapa uongozi yaan hawa jamaa wakishika madaraka yatakuwa yale ya nkuruzinza...nisihukumiwe kwa hili hiyo ndio trend kwa jinsi inavyojionesha since then
 
 

siasa zipo ccm kila mtia nia anataka kutokemeza rushwa ufisad na kuijenga upya serikali kama vile hawapo ktk system iliyopo halafu unawaita wanasiasa wakat ni kund la wasakatonge lililojaa uongo wa wazwaz kwa watz.
 
Issue hapo sio Serikali ya chama gani,msumeno unakata kotekote tulia CDM member ukatwe acha kurukaruka muulize boss wenu nyie watetezi wa wanyonge Mbona mmefisadi Ruzuku?kama unabisha pitia ripoti ya CAG NI NZIGE TU.

Hawa wanafki wanaovaa kaki wanajifanya wanaharakati kumbe walafi....
 

Wa kurudi darasani haya, ila Muungwana ni vitendo, tujali utu wetu, tuwajali wasomaji wetu, tusiwafukuze wasomaji hao kwa lugha za matusi, kejeli na vitu kama hivyo. Busara hainunuliwi dukani. Tunayoyazungumza humu JF yajali misingi ya utu na udugu, amani na utulivu, umoja na mshikamano katika nyanja zote za maisha.
 
Nimekuwa nikiwafuatilia hawa watu hasa viongozi na vijana wao hawana nia njema na watanzania,wanaendeshwa na mihemuko ya Siasa, vurugu ,unafiki na Matusi pamoja na uongo.Kwa matendo yao watanzania tuwahukumu na kamwe tusiwqpe nafasi ya kutuongoza!

ukweli upo sisiemu kila mtia nia atapambana na rushwa ufisad na mwingine anaenda mbali zaid anauchukia umasikini wakat yupo ktk uongoz toka enz za mwalimu anabadili wizara tu kaz kwelikweli mwingine yule wa mureba anaawambia wapiga kura wake wamekunywa viroba asubuh ili wamzomee raha sana ndani ya ccm.
 
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…