CHADEMA ni kundi La Nzige

Vijana wa BAVICHA siku zote wanatumika bila kujielewa na mwaka huu watakiona cha moto baada ya kuingizwa kingi!
 
Jina kuuubwa, unaongea vumbi? Usitumie ID ambayo hata wewe mwenyewe hujiamini. HUGO CHAVES! Hatari!
ndio hugo chaves ni hatari ukiposti hoja humu ujue kui defend la sivyo vikamasi lazima vikutoke .njoo na hoja nitakujibu kwa hoja.
 

Mwaka huuu mafisad lazima muombe po
 
Kelele hizi mwisho Oktober! CCM mtakiona cha moto!

Uwe macho, unaposema wengine watakiona cha moto, kumbuka nawe upo kwenye kikaango, moto utakuwakia! hao CDM ni nzige wenye njaa watakula hata mashina. Muwe macho! Nzige ni balaa
 
Jiandaeni kukimbia matokeo ya urais kama 2010 mkiongozwa na Dr wenu!

Umeonaee, hawa jamaa wanapenda kusema watu wengine wajiandae kisaikolojia kuondoka siju kama wanajua kuwa wao nao wajiandae kisaikolojia kukosa wanachokitolea macho, mwisho wake wanasema simtambui fulani ikiwa ni kauli ya mkosaji. JIANDAENI KISAIKOLOJIA KUKOSA MNACHOTAMANI ILI ISIWASUMBUE SANA VICHWANI MWENU NA NAFSINI MWENU
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…