CHADEMA ni kundi La Nzige

CHADEMA ni kundi La Nzige

Kaiba mke wako mambo ya kifamilia yanakuhusu nini kama unaona ni uchungu nenda mahakamani

Kwani wewe Mushumbusi ni mke wako?mbona unakurupuka wewe kibaraka tu, au hujui babu yenu kakwapua mke wa mtu afu wewe unataka awe Rais labda wa familia yako!
 
Nimekuwa nikiwafuatilia hawa watu hasa viongozi na vijana wao hawana nia njema na watanzania,wanaendeshwa na mihemuko ya Siasa, vurugu ,unafiki na Matusi pamoja na uongo.Kwa matendo yao watanzania tuwahukumu na kamwe tusiwqpe nafasi ya kutuongoza!

Mkuu una mawazo mazuri sana.

Kama CHADEMA ni kundi la nzige elewa pia kuwa CCM ni kundi la PANYA.

CCM 001.jpg

View attachment 262525

MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
 
Mkuu una mawazo mazuri sana.

Kama CHADEMA ni kundi la nzige elewa pia kuwa CCM ni kundi la PANYA.

MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!

Mkuu nimesoma bangonlako la juu lenye alama ya vema, Soma maneNo Tunaimani Na Wewe Watanzania Tunakupenda....... ​teh teh teh wewe uko kundi gani, Mtanzania, Msomali,Mkenya au ni muhamiaji haramu????
 
Nimekuwa nikiwafuatilia hawa watu hasa viongozi na vijana wao hawana nia njema na watanzania,wanaendeshwa na mihemuko ya Siasa, vurugu ,unafiki na Matusi pamoja na uongo.Kwa matendo yao watanzania tuwahukumu na kamwe tusiwqpe nafasi ya kutuongoza!
Ccm kundi la ngeda
 
Mkuu nimesoma bangonlako la juu lenye alama ya vema, Soma maneNo Tunaimani Na Wewe Watanzania Tunakupenda....... ​teh teh teh wewe uko kundi gani, Mtanzania, Msomali,Mkenya au ni muhamiaji haramu????

hahahahahahahahaha!!!!!!

Mimi ni Mtanzania mkereketwa wa Uzalendo.

"Watanzania tunampenda mwenye hiyo picha katika hilo Bango". kwani kuichagua CCM ni sawa na kumchukua Panya kisha unamuweka ndani ya ghala la mahindi.
 
Safi mkuu hapo umenena vema hebu eleza hapa wale panya buku walio makao makuu ya CDM wanaokula Ruzuku mmeshawaua wote?maana CAG aliwamulika wakawa wamekimbilia kwenye mafaili!
 
Safi mkuu hapo umenena vema wew ni mtanzania tena umesisitiza hilo, Kwa hiyo kwa kuwa na wewe ni Mtanzania basi unampenda aliye kwenye hiyo picha, ungekua siyo mtanzania na ungekana uraia wako ingekuwa issue nyingine, lakini sasa umekiri mwenyewe teh teh panya wewe!
 
Safi mkuu hapo umenena vema hebu eleza hapa wale panya buku walio makao makuu ya CDM wanaokula Ruzuku mmeshawaua wote?maana CAG aliwamulika wakawa wamekimbilia kwenye mafaili!

Mkuu umeshasema RUZUKU, hilo ni suala la ndani ya chama.

Mimi nilidhani kuwa utaniambia ni pesa binafsi kama zile za EPA, RICHMOND, ESCROW.

Kwani unapotoa Ruzuku ni kwa ajili ya nini kama si kwa ajili ya matumizi ya chama husika???

Ulitaka waziweke katika makabati bila kuzitumia?.

MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
 
Mizambwa ungeongeza picha aisee hizo ni chache sana! Hilo suala la Anna Tibaijuka umenea vema kabisa sio jipya na yeye mwenyewe alikiri na akawajibishwa na kutolewa kwenye nafasi ya uwaziri na sasa anashughulikiwa na Tume ya maadili! Next plz.
 
Afu unawapromote bila kujijua hao CCM ha ha ha maana unawataja mara kwa mara sijajua kama unalipia hayo mabango ya kijani !
 
Jamani ee, naomba jueni kuwa CDM ni nzige na ni jamii ya panzi wenye uwezo wa kujikusanya kwenye makundi makubwa na kuruka umbali mrefu kwa pamoja kwa ushawishi wao. Ukiyaachia makundi haya ya nzige shamba, wote wadogo na wakubwa huweza kuja wakijikusanya na kutengeneza idadi yao hadi zaidi ya bilioni na huruka umbali mrefu na kuharibu mazao wanakotua. Hapa hutapata kitu maana wameshayatolea macho mambo mengi yaliyoandaliwa na wakulima. Achana na nzige hawa hawana mpango zaidi ya kufikitia wachumie matumbo yao na familia zao.
 
Nchi hii inafurahisha sana mara ccm cdm nccr mbona hamuongelei mambo ya msingi ambayo wananchi tunahitaji?
 
Nzige walikuwa wanaliwa tu
Enzi zile za Musa na wana wa Israel jangwani
Waliliwa tu ndo dawa yao!
 
Nchi hii inafurahisha sana mara ccm cdm nccr mbona hamuongelei mambo ya msingi ambayo wananchi tunahitaji?

Kwani wewe uko wapi?
Huoni nchini kwako kuna nini?
Au na wewe hujui kama kinachofanyika kiko
Kikatiba? uhuru wa maoni? Au ulitaka tuongelee nini?
Inabidi utoe thread hayo mawazo yako tuyaone, byeee!
 
Mleta mada katika ubora wake
 
Attachments

  • 1435339795316.jpg
    1435339795316.jpg
    45.9 KB · Views: 57
Mleta mada akiwa lindo
 
Attachments

  • 1435342529775.jpg
    1435342529775.jpg
    17.5 KB · Views: 46
Back
Top Bottom