julinyanda
JF-Expert Member
- Sep 17, 2014
- 203
- 87
Wemwenyewe masikini tu hata ukiambiwa Dr.Slaa kaiba mke wa mtu unakataa
Kaiba mke wako mambo ya kifamilia yanakuhusu nini kama unaona ni uchungu nenda mahakamani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wemwenyewe masikini tu hata ukiambiwa Dr.Slaa kaiba mke wa mtu unakataa
Kaiba mke wako mambo ya kifamilia yanakuhusu nini kama unaona ni uchungu nenda mahakamani
Nimekuwa nikiwafuatilia hawa watu hasa viongozi na vijana wao hawana nia njema na watanzania,wanaendeshwa na mihemuko ya Siasa, vurugu ,unafiki na Matusi pamoja na uongo.Kwa matendo yao watanzania tuwahukumu na kamwe tusiwqpe nafasi ya kutuongoza!
Mkuu una mawazo mazuri sana.
Kama CHADEMA ni kundi la nzige elewa pia kuwa CCM ni kundi la PANYA.
MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
Ccm kundi la ngedaNimekuwa nikiwafuatilia hawa watu hasa viongozi na vijana wao hawana nia njema na watanzania,wanaendeshwa na mihemuko ya Siasa, vurugu ,unafiki na Matusi pamoja na uongo.Kwa matendo yao watanzania tuwahukumu na kamwe tusiwqpe nafasi ya kutuongoza!
Mkuu nimesoma bangonlako la juu lenye alama ya vema, Soma maneNo Tunaimani Na Wewe Watanzania Tunakupenda....... ​teh teh teh wewe uko kundi gani, Mtanzania, Msomali,Mkenya au ni muhamiaji haramu????
hahahahahahahahaha!!!!!!
Mimi ni Mtanzania mkereketwa wa Uzalendo.
"Watanzania tunampenda mwenye hiyo picha katika hilo Bango". kwani kuichagua CCM ni sawa na kumchukua Panya kisha unamuweka ndani ya ghala la mahindi.
hahahahahahahahaha!!!!!!
Mimi ni Mtanzania mkereketwa wa Uzalendo.
"Watanzania tunampenda mwenye hiyo picha katika hilo Bango". kwani kuichagua CCM ni sawa na kumchukua Panya kisha unamuweka ndani ya ghala la mahindi.
Safi mkuu hapo umenena vema hebu eleza hapa wale panya buku walio makao makuu ya CDM wanaokula Ruzuku mmeshawaua wote?maana CAG aliwamulika wakawa wamekimbilia kwenye mafaili!
Jamani ee, naomba jueni kuwa CDM ni nzige na ni jamii ya panzi wenye uwezo wa kujikusanya kwenye makundi makubwa na kuruka umbali mrefu kwa pamoja kwa ushawishi wao. Ukiyaachia makundi haya ya nzige shamba, wote wadogo na wakubwa huweza kuja wakijikusanya na kutengeneza idadi yao hadi zaidi ya bilioni na huruka umbali mrefu na kuharibu mazao wanakotua. Hapa hutapata kitu maana wameshayatolea macho mambo mengi yaliyoandaliwa na wakulima. Achana na nzige hawa hawana mpango zaidi ya kufikitia wachumie matumbo yao na familia zao.
Nchi hii inafurahisha sana mara ccm cdm nccr mbona hamuongelei mambo ya msingi ambayo wananchi tunahitaji?