johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Sema NEC.walipewa nyaraka za kufoji na wahuni kutoka Ufipa st.... nadhani kigugumizi ni kwamba wakiwatemesha ubunge hao 19 ita-prove officially pasi na shaka kwamba Bunge na Serikali/NEC walifoji nyaraka na kupindisha taratibu na sheria za nchi. Namna ya kuvuka kizingiti hiki ndio kizungumkuti.
... uko sahihi; wahuni waliojiteua wenyewe na mhuni mwingine aliyejiteua kutokea gerezani! Hao NEC ikawaje wasifanye due diligence? Bunge ikawaje lisifanye due diligence?Sema NEC.walipewa nyaraka za kufoji na wahuni kutoka Ufipa st.
Fomu zilisaimiwa na.Katibu mkuu wa Chadema... uko sahihi; wahuni waliojiteua wenyewe na mhuni mwingine aliyejiteua kutokea gerezani! Hao NEC ikawaje wasifanye due diligence? Bunge ikawaje lisifanye due diligence?
Kwani huyo Joyce hajui kusoma na kuandika?Mbowe ataanzaje kukataa? Kwa taarifa yako lineup jina la kwanza ni la Joyce mukya.
NEC wanadai hivyo au sio?Fomu zilisaimiwa na.Katibu mkuu wa Chadema
Hata Mnyika hajapinga MahakamaniNEC wanadai hivyo au sio?
... kwenye kesi ipi?Hata Mnyika hajapinga Mahakamani
Ya kupinga sahihi yake... kwenye kesi ipi?
Bwashe bana, NEC gani hiyo isiyo na uwezo Wa kuverify nyaraka?Sema NEC.walipewa nyaraka za kufoji na wahuni kutoka Ufipa st.
Kuna sehemu nimesema hivyo labda Mzee mgaya?Kwani huyo Joyce hajui kusoma na kuandika?
Naona wengi wenu hamjausoma mchezo uliopo.Kama itakuwa ni lazima Halima Mdee na wenzake wateme ubunge basi Chadema itabidi ipeleke wabunge wengine 19 ili kukidhi masharti ya Wafadhili wa miradi yetu
Je, Chadema watautambua rasmi uchaguzi mkuy wa 2020 kama ulikuwa huru na haki?
Je, watateua wabunge wengine 19?
Tundu Lisu ataridhia?
Mbarikiwe sana!
Mkuu kitendo cha Mbowe kwenda Ikulu haikuwa bahati mbaya, haya yameongelewa.... nadhani kigugumizi ni kwamba wakiwatemesha ubunge hao 19 ita-prove officially pasi na shaka kwamba Bunge na Serikali/NEC walifoji nyaraka na kupindisha taratibu na sheria za nchi. Namna ya kuvuka kizingiti hiki ndio kizungumkuti.
Agizo la baba yenu.Sema NEC.walipewa nyaraka za kufoji na wahuni kutoka Ufipa st.
Kwa vile hawa wabunge wanatokana na idadi ya kura walizopata, wanaweza kusema ni sehemu ya haki yao bila kuukubali uchaguzi kuwa ulikuwa wa haki na huru. Hivyo hivyo kwa ruzuku.Kama itakuwa ni lazima Halima Mdee na wenzake wateme ubunge basi Chadema itabidi ipeleke wabunge wengine 19 ili kukidhi masharti ya Wafadhili wa miradi yetu
Je, Chadema watautambua rasmi uchaguzi mkuy wa 2020 kama ulikuwa huru na haki?
Je, watateua wabunge wengine 19?
Tundu Lisu ataridhia?
Mbarikiwe sana!
Kwasasa serikali inapaswa iwainamie cdm ili iwasaidie kukidhi hiyo misaadaKwa vile hawa wabunge wanatokana na idadi ya kura walizopata, wanaweza kusema ni sehemu ya haki yao bila kuukubali uchaguzi kuwa ulikuwa wa haki na huru. Hivyo hivyo kwa ruzuku.
Hilo la masharti ya wafadhili halihusu Chadema. Kwani huo ufadhili ni wa Chadema au Serikali?
Amandla...