Chadema ni lazima iteue Wabunge 19 ili kukidhi masharti ya Wafadhili. Je watakubali?

Uchaguzi mkuu 2020 sasa ni halali. Mola alishafanya yake
 
... nadhani kigugumizi ni kwamba wakiwatemesha ubunge hao 19 ita-prove officially pasi na shaka kwamba Bunge na Serikali/NEC walifoji nyaraka na kupindisha taratibu na sheria za nchi. Namna ya kuvuka kizingiti hiki ndio kizungumkuti.
Watasingizia kuwa ni kwa sababu kulikuwa na rufaa.
 
Kama walijua hivyo kwa nini waliiba uchaguzi?
 
Adui hayupo tena watachagua wakiongozwa na Super Susan
 
Chadema walikuwa wazi kabisa kwamba uchaguzi haukuwa huru na waki. Hivyo,matokeo yake yalikuwa batili. Na chadema walikataa mchana kweupe na kuitangazia dunia kutoutambua uchaguzi ule.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…