Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nani wa kumzuia Mrema kuingea wewe? Mrema akiongea ataishia kujibiwa na Msigwa, hakuna kiongozi wa CHADEMA mwenye huo muda wa kumzuia huyoNatoa onyo kwa kikundi kinachoratibu Kufukuza wengine ndani ya CHADEMA, sitaki kuamini kwamba Katibu Mkuu na Mwenyekiti mpya mnaweza kupanga jambo hili duni na la kijinga, kemeeni jambo hili haraka sana, Uchaguzi umekwisha kwa tofauti ya kura 31 tu, kimsingi hakuna aliyeshinda bali Mshindi wa Jumla ni Chadema.
Wakati wa kampeni kila aliyetaka kuongea aliongea kila alichotaka, wamo pia waliotumia mwanya huo kutukana wenzao matusi hadi ya nguoni, lakini hakuna aliyewagusa.
Hakuna sababu yoyote ya Kijinga wala ya maana ya kuzuia John Mrema kuzungumza na Wanahabari na kutoa tathmini yake, Acheni kabisa mambo haya hayatajenga kitu chochote, Tusikilize hoja zake tuzipime na ikibidi tumjibu ikiwezekana kujibiwa.
Unaweza kukuta anaongea ili kupongeza Washindi tu, Hofu inatoka wapi na kwanini?
Mkuu mbona kama uko kwenye hasira, siyo kawaida yako kutoa matamko hayaHuwezi kjenga chama kwa kufukuza Makamanda, Lissu hana uwezo huo na hatokuja kuwa nao
Mwenyekiti wa CHADEMA @ChademaTz wa Kata ya Segerea mkoani Dar es Salaam, Kitomary Steven, amekanusha vikali madai yaliyoenezwa mtandaoni kwamba amepanga kumvua uanachama John Mrema @JonMrema , Mkurugenzi wa Itifaki, Mawasiliano na Mambo ya Nje wa CHADEMA.Natoa onyo kwa kikundi kinachoratibu Kufukuza wengine ndani ya CHADEMA, sitaki kuamini kwamba Katibu Mkuu na Mwenyekiti mpya mnaweza kupanga jambo hili duni na la kijinga, kemeeni jambo hili haraka sana, Uchaguzi umekwisha kwa tofauti ya kura 31 tu, kimsingi hakuna aliyeshinda bali Mshindi wa Jumla ni Chadema.
Wakati wa kampeni kila aliyetaka kuongea aliongea kila alichotaka, wamo pia waliotumia mwanya huo kutukana wenzao matusi hadi ya nguoni, lakini hakuna aliyewagusa.
Hakuna sababu yoyote ya Kijinga wala ya maana ya kuzuia John Mrema kuzungumza na Wanahabari na kutoa tathmini yake, Acheni kabisa mambo haya hayatajenga kitu chochote, Tusikilize hoja zake tuzipime na ikibidi tumjibu ikiwezekana kujibiwa.
Unaweza kukuta anaongea ili kupongeza Washindi tu, Hofu inatoka wapi na kwanini?
Lakini Mwenyekiti aliyepita si alisema kuna watu itabidi washughulikiwe ikiwemo kuvuliwa uanachama au umesahau hiloChadema si ya mtu
Kwa mara ya kwanza umeongea lugha ya ukali sana Toka nimekujua humu jf, umejificha ficha hatimae umejaa kwenye mfumo😂 kumbe wewe "ulikua timu mwamba"Natoa onyo kwa kikundi kinachoratibu Kufukuza wengine ndani ya CHADEMA, sitaki kuamini kwamba Katibu Mkuu na Mwenyekiti mpya mnaweza kupanga jambo hili duni na la kijinga, kemeeni jambo hili haraka sana, Uchaguzi umekwisha kwa tofauti ya kura 31 tu, kimsingi hakuna aliyeshinda bali Mshindi wa Jumla ni Chadema.
Wakati wa kampeni kila aliyetaka kuongea aliongea kila alichotaka, wamo pia waliotumia mwanya huo kutukana wenzao matusi hadi ya nguoni, lakini hakuna aliyewagusa.
Hakuna sababu yoyote ya Kijinga wala ya maana ya kuzuia John Mrema kuzungumza na Wanahabari na kutoa tathmini yake, Acheni kabisa mambo haya hayatajenga kitu chochote, Tusikilize hoja zake tuzipime na ikibidi tumjibu ikiwezekana kujibiwa.
Unaweza kukuta anaongea ili kupongeza Washindi tu, Hofu inatoka wapi na kwanini?
Tathimini ili iweje kwa vyombo vya habari na itamsaidia nani, tathimini kwa vyombo vya habari ? nadhani itakuwa ya kujisafisha?Natoa onyo kwa kikundi kinachoratibu Kufukuza wengine ndani ya CHADEMA, sitaki kuamini kwamba Katibu Mkuu na Mwenyekiti mpya mnaweza kupanga jambo hili duni na la kijinga, kemeeni jambo hili haraka sana, Uchaguzi umekwisha kwa tofauti ya kura 31 tu, kimsingi hakuna aliyeshinda bali Mshindi wa Jumla ni Chadema.
Wakati wa kampeni kila aliyetaka kuongea aliongea kila alichotaka, wamo pia waliotumia mwanya huo kutukana wenzao matusi hadi ya nguoni, lakini hakuna aliyewagusa.
Hakuna sababu yoyote ya Kijinga wala ya maana ya kuzuia John Mrema kuzungumza na Wanahabari na kutoa tathmini yake, Acheni kabisa mambo haya hayatajenga kitu chochote, Tusikilize hoja zake tuzipime na ikibidi tumjibu ikiwezekana kujibiwa.
Unaweza kukuta anaongea ili kupongeza Washindi tu, Hofu inatoka wapi na kwanini?
Naunga mkono hoja🤝Natoa onyo kwa kikundi kinachoratibu Kufukuza wengine ndani ya CHADEMA,
Usiwaze kamanda hizo ni figisu plan F Za chama chawala.. Baada ya plan A,B, C, D kufeli 😂Natoa onyo kwa kikundi kinachoratibu Kufukuza wengine ndani ya CHADEMA, sitaki kuamini kwamba Katibu Mkuu na Mwenyekiti mpya mnaweza kupanga jambo hili duni na la kijinga, kemeeni jambo hili haraka sana, Uchaguzi umekwisha kwa tofauti ya kura 31 tu, kimsingi hakuna aliyeshinda bali Mshindi wa Jumla ni Chadema.
Wakati wa kampeni kila aliyetaka kuongea aliongea kila alichotaka, wamo pia waliotumia mwanya huo kutukana wenzao matusi hadi ya nguoni, lakini hakuna aliyewagusa.
Hakuna sababu yoyote ya Kijinga wala ya maana ya kuzuia John Mrema kuzungumza na Wanahabari na kutoa tathmini yake, Acheni kabisa mambo haya hayatajenga kitu chochote, Tusikilize hoja zake tuzipime na ikibidi tumjibu ikiwezekana kujibiwa.
Unaweza kukuta anaongea ili kupongeza Washindi tu, Hofu inatoka wapi na kwanini?
MkuuNatoa onyo kwa kikundi kinachoratibu Kufukuza wengine ndani ya CHADEMA, sitaki kuamini kwamba Katibu Mkuu na Mwenyekiti mpya mnaweza kupanga jambo hili duni na la kijinga, kemeeni jambo hili haraka sana, Uchaguzi umekwisha kwa tofauti ya kura 31 tu, kimsingi hakuna aliyeshinda bali Mshindi wa Jumla ni Chadema.
Wakati wa kampeni kila aliyetaka kuongea aliongea kila alichotaka, wamo pia waliotumia mwanya huo kutukana wenzao matusi hadi ya nguoni, lakini hakuna aliyewagusa.
Hakuna sababu yoyote ya Kijinga wala ya maana ya kuzuia John Mrema kuzungumza na Wanahabari na kutoa tathmini yake, Acheni kabisa mambo haya hayatajenga kitu chochote, Tusikilize hoja zake tuzipime na ikibidi tumjibu ikiwezekana kujibiwa.
Unaweza kukuta anaongea ili kupongeza Washindi tu, Hofu inatoka wapi na kwanini?
Huyu ni John mwenyewe amekasirika hadi amepitiliza na ku blow cover yake mwenyewe.Kwa mara ya kwanza umeongea lugha ya ukali sana Toka nimekujua humu jf, umejificha ficha hatimae umejaa kwenye mfumo😂 kumbe wewe "ulikua timu mwamba"
Mimi naamini chadema ya uongozi mpya haitakuwa ya namna hiyo, nadhani pengine Kuna namna mrema anataka kutengeneza mazingira ionekane kwamba viongozi walioingia madarakani ni watu wa kubana uhuru wa kuongea ndani ya chama.
Hakuna atakae mfuta uanachama mrema kwa sababu ya kupishana misimamo na viongozi wapya hiyo ni hofu yake tu. Chadema ni ya wote uongozi mpya sidhani kama utaruhusu uhuni wa namna hiyo(kama upo kweli)
Ushindi wa kura tatu kama tofauti si ushindi kwa mantiki ipi, hata ingekuwa robo kiduchu ni ushindi tuNatoa onyo kwa kikundi kinachoratibu Kufukuza wengine ndani ya CHADEMA, sitaki kuamini kwamba Katibu Mkuu na Mwenyekiti mpya mnaweza kupanga jambo hili duni na la kijinga, kemeeni jambo hili haraka sana, Uchaguzi umekwisha kwa tofauti ya kura 31 tu, kimsingi hakuna aliyeshinda bali Mshindi wa Jumla ni Chadema.
Wakati wa kampeni kila aliyetaka kuongea aliongea kila alichotaka, wamo pia waliotumia mwanya huo kutukana wenzao matusi hadi ya nguoni, lakini hakuna aliyewagusa.
Hakuna sababu yoyote ya Kijinga wala ya maana ya kuzuia John Mrema kuzungumza na Wanahabari na kutoa tathmini yake, Acheni kabisa mambo haya hayatajenga kitu chochote, Tusikilize hoja zake tuzipime na ikibidi tumjibu ikiwezekana kujibiwa.
Unaweza kukuta anaongea ili kupongeza Washindi tu, Hofu inatoka wapi na kwanini?
Hujui loloteKwa mara ya kwanza umeongea lugha ya ukali sana Toka nimekujua humu jf, umejificha ficha hatimae umejaa kwenye mfumo😂 kumbe wewe "ulikua timu mwamba"