Nilidhani utani kuwa hawa jamaa huwa wanapata period bila kujali jinsia kumbe kweli na ikishawapata ni mwendo wa kubofoa tu yaani mipango yenu ya kihaini mnamshirikisha Mun gu yupi [emoji23] [emoji23] [emoji23] acheni mzahaKama ilivyokuwa kwa wana wa Israel ambapo Mungu alimtumia Mussa kuwakomboa kutoka utumwani nchini Misri,ndivyo vivyo hivyo Mungu amepanga kuwatumia CHADEMA na CUF kwa kiasi fulani, ili kupitia vyama hivi,watanzania wakombolewe.
Hii ni moja ya sababu ya hawa wenzetu kukosa maarifa(mungu kwanyima) na matokeo yake mipango yao mingi iliyojaa "uovu" kila siku inafeli na ku-back fire na wao kuishia kuumbuka tu.
Hawa mabwana wanapaswa kutambua kuwa hawapambani na CHADEMA au CUF bali wanapambana na nguvu za Mungu mwenye mamlaka yote mbinguni na duniani.
Wanapaswa kutambua kwa muda mrefu wametenda mengi yasiyo mpendeza Mungu na Mungu sasa kàwachoka hivyo anawaumbua kila kukicha mpaka pale watakaposali amri.
Tambueni:
Tundu Lissu kupigwa risasi lakink aka-survive ni mpango wa Mungu(Mungu kamuokoa yeye na dereva wake ili waje waseme)
Joshua Nassari kwenda masomoni Uingereza na kupata teknolojia iliyowaumbua wanafiki leo hii ni mpango wa Mungu aliejua kabla kuwa huu uovu ungetendeka.
Bwana fulani kuwaita kina fulani "wapumbavu" huku akiwa anarekodiwa baada ya mission kufeli ni mpango wa Mungu.
Bwana fulani kuendelea kuumbuka hadharani kwa kushindwa kutoa vyeti i mpango wa Mungu na soon kila kitu kitakuwa wazi kupitia shauri alilofungua Mayor wa CHADEMA.
Hayo ni machache tu miongoni mwa mengi.
Mengi yametokea,mengi yanakuja na mengi yatatokea.
Jiulizeni ile dhana kuwa vyama vya upinzani ni vyama vya msimu imeeishia wapi siku hizi?
Huwezi kuapa kwa kutumia vitabu vitakatifu kisha ukatenda kinyume alafu ukabaki salama.
Wewe ndo mfano halisi wa mtu aliyelaaniwa.Unajua hata maana ya laana kweli wewe?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Jengeni ofisi zenu kwanza ili muaminishe Watanzania kuwa mnaweza wajengea uchumi imara..
Lowassa anashindwa kuja Ufipa sababu ya choo cha shimo..
Tusi liko wapi ?Umeamua kumtukana LOWASA live kama Nassari na Lema walivyotoka leo?
Duh! Naona ile CHADEMA original inaanza kurudi baada ya "MABADILIKO"
Jengeni ofisi zenu kwanza ili muaminishe Watanzania kuwa mnaweza wajengea uchumi imara..
Lowassa anashindwa kuja Ufipa sababu ya choo cha shimo..
Ile ofisi ndogo pale Lumumba, lile jengo la UVCCM.. Kile kitegauchumi pale Dodoma vilijengwa wakati wa TANU au sio?Mkuu;
Inaonesha labda wewe ni mchanga saana kuingia ccm au labda unavaa miwani ya mbao kujifanya kipofu, CCM iliijenga ofisi gani mkuu?? Niambie moja tu nami nikupe mji.
Ofisi zoote za ccm ni za wananchi walijenga chini ya chama kimoja hivyo kama siasa zetu zingelikuwa za haki vyama vyote vingelipewa nafasi ya kuanza pamoja na ofisi hizo zikauzwa
Ni kweli mnavijenga! Tena kwa kasi ya ajabu, 4G! Viwanda vya rushwa!Ukiamka tathmini ndoto yako kwanza, au endelea kumsubiri DJ makengeza (mkaka) akukomboe kwa kuzungusha mikono, wakati sie tunaendelea kujenga viwanda taratibu
mnyeti kaacha nyeti zenu ccm waziYaani mkuu umeridhika na hii filamu ya double impact iliyozinduliwa leo mbele ya wanahabari!
Umempata wewe na nani? Hukuelewa kitu bro, mara nyingine ukimya ni busara piaNimependa hii ,,Tundu Lisu kupigwa Risasi ni mpango wa Mungu" haya tumekupata, Mungu kamfyatua Tundu Lisu ili muingie Ikulu kwa raha zenu Mafia!
Mungu si mwanadamu kuhukumu kama wewe!Mpango wa Mungu hauwezi kuwa kwa chama cha watetea mafisadi, na wauza madawa ya kulevya chadema
Ile ofisi ndogo pale Lumumba, lile jengo la UVCCM.. Kile kitegauchumi pale Dodoma vilijengwa wakati wa TANU au sio?
Chadema hata kiwanja mnacho? Magari ya M4C yamesajiliwa kwa jina la Mbowe..Tofautisha kujenga jengo na kulikarabati jengo. Wewe ni mtoto tu hujui mwanzo wa vitu hivyo so kaa kimya
Chadema hata kiwanja mnacho? Magari ya M4C yamesajiliwa kwa jina la Mbowe..
Bc na CCM ni mpango wa ibilisiChadema Ni Mpango wa Shetani na Mawakala wao