Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
Nyie wanadamu wenye nia ovu ya kutaka kuiua au kuidhoofisha CHADEMA, tambueni CHADEMA ni mpango wa Mungu kwa watanzania, na ndio maana mpaka leo kiko imara licha mabavu na hujuma zote zilizodumu kwa miaka zaidi ya kumi sasa.
Mungu haturuhusu kiumbe yeyote avuruge hiki chama mpaka pale mpango wake kwa watanzania kupitia chama hiki utapotimia na ndio maana wote waliojaribu kukivuruga walishindwa na waliojaribu kukiua, waliondoka wao wakiacha inadunda hivyo hili ni onyo kwa waliobaki.
Angalieni leo hii mwenyekiti yuko ndani lakini chama kiko imara licha ya misukosuko yote wanayopitia viongozi wengine wa chama katika ngazi mbalimbali.
CHADEMA ni chama teule na ndio maana hata wale waliowahi kusema vyama vya upinzani ni vyama vya msimu, waliondoka madarakani wakaiacha CHADEMA strong kuliko walivyoingia madarakani.
Hivyo, na huyu wa leo na timu yake nae atashindwa tu na wakifiriki wataiua au kuivuruga CHADEMA,basi watazame historia na wajrekebishe vinginevyo pigo la Mungu litawashukia.
Mipango ya Mungu wakati mwingine huchukua muda mrefu kutimia ila wakati ukifika, huwa hakuna wa kuzuia.
Nilwaonya kwenye hii thread mwezi February mwaka 2016 na miaka michache baadae yalitimia.
Msije kusema sikuwaambia.
www.jamiiforums.com

Kuna wakati unakuja mtasema "kizuri hakidumu"
Kwangu mimi sioni hicho kizuri ila kwa wengi wenu mtakuja kusema: "kweli kizuri hakidumu". Wengi wenu mtakuwa mmesahau kuwa waliingilia kazi ya mungu na kujipa mamlaka ya kuamua fulani ni mgonjwa na huyu wetu ni ngangari kumbe walimudhi muumba bila kujijua alafu nyie mtakuja kudai eti kizuri...