Hapo juu aliposema wanaweza kutazama kwa busara na manufaa ya chama chao na Taifa kwa siku za usoni ndio uamuzi waliouchukua unaoendana na objectives zao,sasa hapo pia kuna shida kuelewa kuwa panga pangua,piga ua maamuzi yoyote ya chama ama hata organization yoyote ni lazima yashabihiane na objectives za the so organization?[/QUOTE]
- Objectives za chama chochote cha siasa ni lazima zifuatwe on the means affordable na katiba ya kile chama, ilikubaliwa na kupitishwa na wanachama wote wa kile chama, wazee wenye buisara ya chama wanahitaji kuongeza katiba au kuifanyia marekebisho katiba kwanza kabla ya kumuengua mwanachama kiongozi wa kile chama katika kugombea uongozi wa juu wa chama,
- Ukishaona objectives za chama cha siasa zinatafutwa kwa njia za kuminya demokrasia na katiba ya chama, basi ujue hizo objectives hazina masilahi ya chama wala wala taifa, isipokuwa tu kile kikundi kidogo ndani ya chama kilichoshiriki kuiminya katiba na demokrasia kwa manufaa yao binafsi, demokrasia inahitaji kile kikundi kidogo kuwaelimisha wanachama wake wote madhara ya kumpa Zitto, uongozi ili wasimpigie kura kwenye box, lakini sio kumng'oa na busara za wazee wa chama, huko ni kuiminya demokrasia na katiba ya chama, objectives za chama makini zenye masilahi ya taifa mbele, haziwezi kupatikana kwa njia za kuipinidisha katiba yake.
- Sasa hapo ndipo mnapofurahisha sana, kwa sababu mnashindwa kuelewa chanzo cha hiyo migawanyiko kwamba inatokea kutokana na kuminywa kwa demokrasia na katiba ya chama, sasa utatatuaje tatizo la migawanyiko kwa kutumia njia ile ile ambayo in the first place ndiyo imewafikisha CCM kwenye njia panda ya kutaka kugawanyika? Na kuelewana only kwa sababu ya ku-keep power?
- Moja ya sababu kubwa za kushamiri kwa ufisadi CCM, ni pamoja na ku-maintain makundi yasigawanyike, sasa utasemaje kwamba unaweza kuazima the theory bila ya kuazima ufisadi wenyewe kutoka huko CCM?
- Aliyesema hayo ni Mwenyekiti wako kwamba watu wanadai demokrasia imeminywa Chadema, mbona CCM wanafanya always, ukishaminya demokrasia ni lazima pia na katiba iwe imeguswa, they go in hand.
Respect.
FMEs!