CHADEMA ni ngangari, usipoielewa utadhani imedhoofika kwa hama hama ya wabunge na madiwani wake

Mimi mwenyewe ni mpinzani. Ila kwa mipango wanayo panga ccm kuhusu chadema..
Hata wabunge mtawapata kwa tochi.

Nilifikiri uchaguzi utaendeshwa na NEC, kumbe CCM ndio watashika hatamu na kuendesha uchaguzi. Mmmmm hii ni mpya na ni zaidi ya ninavyoelewa. Tupe ya ndani utufumbue macho.
 
Acha kupotosha watu,mwaka 2015 mliwatapeli Cuf na Nccr mageuzi kujifanya kuunda ukawa. Waliposhutukia utapeli wenu wote wameondoka. Wabunge 17 na madiwani 270. Bado bunge likivunjwa wanaondoka kibao na wanachama kibao. Mtabaki matapeli wa kisiasa.
Lakini bado hamwezi shindana bila ya mbeleko ya policcm na wapyzi wengine kama takukuru na nec.
Ikiwa muvidume hebu wachani mapambano yawe saw a usiseme imekufa lakni hushindani kwa hoja ila kwa vioja.
 
Yaani zamani post kama hii unakuna ina likes 70

Kwa sasa unaokoteza

Usipoteze muda mrefu kutetea wafu, hao wanaofanya kiwe ngangali ni akina nani? Chama bi watu andazi wewe!!!

Unless ni mnufaika wa 8.9b

Peoples ..power- hawa ndio wanaofanya chama kuwa ngangari. Tofauti ya CCM na chadema ni kuwa, CCM ni one man show wakati chadema ni chama cha watu- wananchi- wanachama na wapenzi wake.

Ndio maana kaondoka Dr Slaa chama ndio kikapata wabunge wengi mpaka huko alipo akaona aibu. Kaondoka Mkumbo, Zitto, Mashinde ah, list ni ndefu sana lakini chama kipo tu. Hiki chama kitakuwa balaa.

8.9 b zisikupotezee usingizi wako kwani hiyo na hadithi ya lijuakali, sisi tunachapa kazi tu. Likes si zaidi ya maoni yako, kwasababu katika maoni yako ndio najua kilicho kichwani mwako.
 
Haya manunuzi kamwe hayawezi kuua Taasisi. hapo ndipo Lumumba wanapofeli.
 
Sipati Picha Combination Ya Lissu Rais, Zitto Pm, Mbowe Spika Wa Bunge.

Kwa list hiyo ndio maana Lumumba wakajisalimisha kwa NCCR Mageuzi, Mbatia. Hiyo ni plan B ya Lumumba, sijui huyu Mbatia kama hapumulii mashine.

Subiri wamjazie makapi toka Chadema na ACT. Huenda mwisho wa siku wakawakopesha wengine toka Lumumba.
 
Kushawishi wabunge wa CDM kujiunga na CCM kuna madhara zaidi kwa chama hicho kuliko faida. Kwa mfano, Mwita ana uroho sana wa madaraka na anaamini kuwa yeye alizaliwa kuongoza (Fuatilia maelezo yake toka akiwa msingi mpaka chuo kikuu).

Kwa kipindi kifupi tu alichokuwa CCM ameshaitwa katika sekretariet ya maadili ili ajieleza kwanini anaendesha kampeni za ubunge kabla ya muda maalum kutangazwa. Wote alowakuta ccm hawafai, bali ni yeye ndie anastahiki kuwa mbunge.

Wote walioenda CCM wanatarajia kupewa nafasi kubwa. Wakizikosa hizo nafasi, huko chamani patachimbika. Wahamaji hao ni walafi.
 
Wahamiaji hawatambuliki na wanachama hata wajumbe Bali utambuliwa na mmiliki wa chama chao
 
Wahamiaji hawatambuliki na wanachama hata wajumbe Bali utambuliwa na mmiliki wa chama chao

Kwa vile CCM ni one man show, wanachama watalazimishwa kukubali tu. Na hapo ndipo kashehshe itapoanza. Uchaguzi wa mwaka huu ni mgumu sana kwa chama tawala, kutokana na migogora ya ndani katika kugombea nafasi za uongozi.
 
Chadema km ni mradi basi imegeuka white elephant

Mbowe amepita na bilion nane anajua October hapati ruzuku
Hamia chadema na ww upatepo walau ka milion kamoja kaka...utapewa bk 7 hadi leni ??? Alaf leo nimekuona mitaa ya lumumba unavuka barabara kidogo prado likupitie [emoji23][emoji23][emoji23] ulikuwa unawaza nn??
 
Kma kuna chama ambacho huwa kinanitia kichechefu basi ni ccm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…