Chadema ni Team Samia kwa ushindi wa 2025

Nigrastratatract nerve

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2019
Posts
1,521
Reaction score
4,381
๐Ÿ‘‰Mtu bingwa kabisa Samia Suluh Hassani,amewafanya Chadema na viongozi wao kugeuka team ya kampeni nzuri sana kuelekea 2025..

๐Ÿ‘‰Mtu anayeifaham siasa ameyafanya manyumbu yote kuwa Kitu kimoja sasahv mama huna upinzani kwa chadema sijui vyama vyama gani huna..

๐Ÿ‘‰Umemsafisha Magufuli maana yalisema Magufuli amewazuia kufanya siasa,umeyaruhusu siasa zenyewe sasa utafkiri zinaratibiwa na Sophia Mjema sio kwa sifa hizo wanazokumwagia.

๐Ÿ‘‰Hayana agenda yanii pakushika hayana mengine ni kuratibu mapokezi ya wapiga deal,kukata keki,kumtukana Magufuli as ziiiiiii

๐Ÿ‘‰Mama kwa tafsri hii piga kazi mama upinzani labda uko kwako kwa akina nape,Makamba,Mwigulu,kigwangala na genge lao lakn huku nje mama sisi na mbowe wote tunakupenda.

๐Ÿ‘‰๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ sema mama we mtu hatari sana yani umeyaacha yajimalize yenyewe wala hujatumia nguvu,nchi ilipofika Leo utasema Leema hajapokelewa juzi,mama shkamoo๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

#Mama_fundi
 
Wakuu ujinga mwingine huu uku.
 
Chadema wanataka majimbo ya wabunge wa CCM ambao hawatiimizi wajibu wao.Hawana shida na Raisi
 
Samia hatogombea
 
SUKUMA GANG MTAKUFA KWA PRESSURE na kumfuata Baba yenu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ