CHADEMA ni vibaraka - Nape

Vipi kuhusu madawa ya kulevya kasemaje mkuu? Maana kwa sasa ndio tatizo kubwa sana hapa nchini na chama chake CCM kinahusishwa na biashara hiyo
 
Nape hawajui mzazi wake.....sasa wahuni ni chadema au aliyemzaa halafu hamjui aliyezaa naye.....NAPE NI GOLI LA KILABUNI...Tena yawezekana ni mnyaruanda kwani kugawa kilabuni si mchezo! Watu wote mnatakiwa mumpuuze..
 
Hiyo ndio fadhila ya ntoto wa kambo!Mzee Makamba hakukosea kumfungia milano hapa Duniani na Akhera!
 
Nape hawajui mzazi wake.....sasa wahuni ni chadema au aliyemzaa halafu hamjui aliyezaa naye.....NAPE NI GOLI LA KILABUNI...Tena yawezekana ni mnyaruanda kwani kugawa kilabuni si mchezo! Watu wote mnatakiwa mumpuuze..

Mkuu asante kwa kuliweka sawa hilo,aitwaye mzazi wa huyo dogo kwa loose aliukuwa ni kiboko!miaka ya 90 alikesha sana morogoro hotel akipiga kinanda huku akiwasubiri dada poa sikumbuki kama alikuwa na wa kudumu,hapo chacha!Yusuf si ndie alisimamia msiba?baadaye akayaanika..............!
 
Ya ccm yanafanyioka ndani ya nyumba na ya CHADEMA yanafanyika hadharani viwanjani! Yote ni maoni. Tofauti yake ni nini? Nape asipotoshe maana ya Mzee Warioba. Mzee huyu hajawahi kuwa na maana kuwa maoni yaliyochukuliwa katika vikao vya ndani ni bora kuliko yaliyochukuliwa hadharani. Mzee Warioba alichosema ni kuwa Tume haitachukua mawazo ya kulazimishwa au kupandikiziwa kwa nguvu.
 

1.vibaraka waliobobea kwa nchi ipi?China inayoua watz kwa substandard products?Hadi kuongeza makalio?
2.Kupotezea watu muda?wamevutiwa na maudhui ndio sababu wanahudhuria kwa wingi mikutano ya CDM.
3.They met in closed doors then issued handout to their zelouts as guidelines what to force into constitution.
4.Yupi mhuni?anayekwenda kukutana na wananchi ama anayekwenda kitanda kwa kitanda?
5.Hivi huyu CHIZI?kwani Helcopter inapeleka maoni?amsikilize mzee Butiku"kama ningejua CCMagabamba wataingilia mchakato wa kutoa maoni ya katiba nisingekubali uteuzi wa rais kuwa mmoja wa wajumbe wa tume hii".
 
Nape ni kibaraka wa CCM.

CCM ni kibaraka cha mafisadi.

Mafisadi ni vibaraka wa fedha.

*kila mtu ni kibaraka wa jambo fulani.
 
Wahuni kivipi mkuu hebu tufafanulie tafadhal,
Hivi kiongozi thabiti anawezaje kuuza sura kwenye runinga kupinga maamuzi ya NEC ya mkoa wa Kagera bila kuona barua za rufani za madiwani waliotimuliwa na mkoa. Kwani kama sio mhuni aliona taabu gani kutumia vikao na vyombo vingine kikatiba badala ya kuropoka runingani. Mbona alivyojibiwa na yule demu wa kagera aliufyata?
 

Yap, inawezekana upo sahihi kwa upande wako na labda kuna wengi tu wanakubaliana na wewe....Ila kwa mimi na watu wengi tu ninaowafahamu mimi ambao hatuna chama tunawakubali sana Chadema. Na nadhani sasa hivi kuna kuna consensus kati yetu kwamba lazima tuiadhibu CCM 2015...LAZIMA !....Na ninatumaini na wengine wengi watatuunga mkono tuwang'oe hawa watu.....mengine tutayajua baadaye....lakini first things first, these guys MUST GO...eee Mungu tusaidie !
 
Sisi wananchi hii mikutano ya Chadema ya Rasimu ndio tuliitaka....hiyo ya Nape ni Danganya toto. wameshakaririshana afu wanaenda kujificha kwa siri kisha wanasema ni maoni ya wananchi SHAME on them!!! BIG UP CHADEMA....mimi nazani Tangu Mwanzo Warioba na Tume yake walitakiwa wafanye kama chadema. Wahamasishe watu kujitokeza si kufanya kimya kimya! Niliwahi kushuhudia mkutano mmoja wa Rasimu ukiwa na watu wasiozidi 30 Tena robo yao ni watoto wadogo sasa nikajiuliza hivi kwa staili hii tutapata katiba nzuri kweli. Mbaya zaidi ilikuwa inafanyika mchana na asubuhi wakati wasomi wengi wapo maofisini!
 
Nape hana hoja, kwake ni kuropoka na dharau kwa kwenda mbele, kiujumla chadema ina wanyima usingingizi sana maccm!
 
My advise to Nape,DO SET UR MOUTH IN MOTION BEFORE UR BRAIN IS IN GEAR,maana vitu vingine huwa unatamka sijui ukiwa Bar umelewa,you so boring,stop that Vuvuzela
 
Jana katibu mwenezi wa chama cha mapinduzi alinukuliwa na baadhi ya vyombo vya habari juu ya hatua ya chama cha demokrasia na maendeleo kutumia helikopter kama kifaa cha usafiri na mikutano ya hadhara kama njia ya kukusanya maoni na mapendekezo yao juu ya rasimu ya katiba mpya kuwa chama hicho hakifanyi sahihi na eti ni ushamba tu wa kupanda helikopter. Kwa kauli hii kwangu naona ni kama vile ya mtu ambaye

  1. Kwanza hana shule kichwani ya kutoa hoja yenye tafakuri kwani hakuna uhusiano uliopo kati ya helikopter na maoni ya rasimu kwa maana ya contents wa moja kwa moja yaani ni namna gan helikopter inaweza ikaathiri contents ya maoni ya rasimu.
  2. Katika mwongozo wa tume hakuna sehemu yoyote inayosema kuwa muundo wa mabaraza lazima uwe ni vikao vya chumbani kama mme na mke kama ccm walivyofanya.
  3. Katika mwongozo wa tume na sheria ya tume ya katiba mpya hakuna sehemu yoyote inayosema kuwa wakati wa kukusanya maoni lazima magari yatumike au helikopter isitumike au watumie bajaji
  4. Katika mwongozo wa tume na sheria ya marekebisho ya katiba mpya hakuna sehemu yoyote inayotamka kuwa mabaraza ya kukusanya maoni yasifanywe katika mkutano wa hadhara au kwa njia ya mitandao au kwa njia ua ujumbe mfupi wa simu ya mkononi
  5. kwa umakini wa CHADEMA kwa kuisoma sheria yenyewe na mwongozo wa mabarza na asasi zisizo za kiraia waliamua kufanya yafuatayo ambayo hayaendi kinyume wala kukinzana na sheria ya tume pamoja na mwogozo wake.


  • Kuunda mabaraza yao huru ambayo yalikuwa ni mkitano ya hadhara na kutengeneza fomu maalumu ambayo inaoana moja kwa moja na ya warioba aliyo kuwa akitumia kukusanya maoni katika mabaraza yao na imewasaidia chadema kutoa elimu ya uraia katika misingi mikubwa ya kikatiba ya kuzingatiwa na hawakujificha chumbani wao wamefanya hadharani na wananchi wamewaelewa sana kwa hili nawapongeza.
  • Kukusanya maoni kwa njia ya mitandao ya kijamii na sms na emails na mwitikio bila shaka umekuwa ni mkubwa lakini ccm wao walikuwa chumbani na kuwakaririsha wanachama wao upuuzi hata wa kukutaa maadili ya kitaifa eti yasiwepo kwenye katiba ( rubbish).
  • HIvi kwani helokopter ndiyo inakusanya maoni au viongozi ndo wanakusanya kwa hili nape( shame on u)
  • Nashangaa tangu lini nape akawa msemaji wa tume kuhusu ukiukwaji anaousema wa namna ya kukusanya maoni au ndo kujipendekeza kwa jaji warioba au ndo kuto jua mipaka ya kazi yake( anahitaji training ya uongozi)
mwisho nawapongeza chadema kwa juhudi walizo tumia kuwafikia watanzania wengi takribani zaidi ya milion moja na nusu mpaka jana na mchakato bado unaendelea.
 
CCM wamelala tu huku Nape na Mwigulu wanaliua chama lao .Wameshindwa hata na Wassira baada ya kuropoka sana na kujigamba sasa kanasa kaamua kukaa kimya .Hakika hizo si siasa za kistaarabu na watanzania wanaona wanayo yafanya Chadema wataamua muda muafaka .Yeye kwa nini anaongelea Chadema kwenye mikutano na shughuli zao za CCM maana si kampeni hizi ambazo unalazimika kumtaja mpinzani wako .
 
Sidhani kama ndani ya CCM kuna wanafikiri nje ya box! woooote ndani ya kibox tu! waliokuwa wanawafikiria walishakufa kama akina Nyerere!
 
sidhani kama ndani ya ccm kuna wanafikiri nje ya box! Woooote ndani ya kibox tu! Waliokuwa wanawafikiria walishakufa kama akina nyerere!

mbona kama unajishukia, yeye alitaja chama kwani, kuna vyama ving e.g cuf, tlp chadema etc
 
Nappy nae nani! hajitambui huyo; si Warioba wala Nape au CCM itakayozuia muziki wa CDM; wawe macho sana na wafanye home work yao vizuri; which I doubt maana vichwa vyenye akili huko CCM ni kitu adimu sana siku hizi!!!!
Wanachokifanya CDM sasa hivi ni kutoa elimu ya uraia ili wananchi wajitambue na kuelewa CCM ilivyoliletea taifa majanga! matokeo yake ni tsunami dhidi ya CCM, Nappy endelea ku-trivialize Helicopter, wahenga walisema mdharau mwiba huota tende!

Nape chezea umma uliokwishajitambua wewe utakiona cha moto!
 
ccm sawa na zigo la mavi,lisipokushinda kwa uzito utalitupa kwa harufu,et maoni ya wana ccm,wapi? nani katoa maoni ccm??
 
hasira za nini dhidi ya huyu mkata roho ambae sasa mziki wa cdm unamfanya aweweseke na familia nzima ya lumumba inaweweseka. Huyu na wenzake si wa kujibu kwani hawaelewi wala kusikia watendalo kwani wako kwenye hatua ya kutapatapa iliwaakate roho. Angalia wasije kukuachia ulemavu bure.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…