CHADEMA ni vibaraka - Nape

CHADEMA ni vibaraka - Nape

povu litayatoka sn maccm mwaka huu,mtakaa mno dodoma lakn suala la RASLIMALI,SERIKALI 3,TUME HURU YA UCHAGUZI,hamchomoki
 
NAPE AWAPONDA CHADEMA
>.Asema ni vibaraka waliobobea.
>.Adai wanawapotezea watu muda mikutano ya Katiba
>. Ajivunia utaratibu uliotumiwa na CCM
>. Adai wanachofanya Chadema ni uhuni
>. Ampongeza Warioba kukataa maoni ya helkopta

Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi Ndg. Nape Nnauye amewaponda Chadema na utaratibu wanaotumia kukusanya maoni ya wananchi juu ya rasimu ya kwanza ya katiba kuwa ni uhuni na kuwapotezea watu muda.

Nape akizungumza na waandishi wa habari mjini Dodoma alipokuwa akielezea ratiba ya vikao vya CCM vya kitaifa alisema,"sisi tunakutana kupitia maoni ya wanaCCM waliotoa maoni yao juu ya rasimu ya kwanza ya katiba, lakini wakati sisi tunafanya hivyo watani zetu wameamua kuwapotezea muda wananchi kwa kufanya uhuni wa mikutano ya hadhara huku wakijua kuwa ni kinyume na sheria inayoongoza mijadala ya rasimu hiyo ya katiba"alisisitiza Nape.

Lakini Nape pia alimpongeza mwenyekiti wa Tume ya mabadiliko ya katiba nchini Jaji Warioba kufuatia kauli yake kuwa atapokea maoni ya taasisi sio ya helkopta.
"Jaji warioba kawatendea haki hawa watani, sheria inataka taasisi ikae kama baraza sio ikafanye mikutano ya hadhara.Kasema sawa sawa, hawatapokea maoni ya helkopta ila ya taasisi sasa sio busara hawa jamaa kuendelea kupoteza muda wa watu".
"Lakini najua wataendelea tu kwasababu inabidi watoe hesabu ya pesa walizopewa kwa kazi hii.Watafanyaje sasa zaidi ya kuruka na chopa ili wakidhi matakwa ya waliowatuma,ndo tabu ya vibaraka!"alisisitiza Nape.

Kuhusu vikao alisema sekretariete ya CCM imekutana kwa siku tatu mjini Dodoma kuandaa kamati kuu inayokutana kesho na Halmashauri kuu inayokutana tarehe 24 -25/08/2013.

Vipi Jubilee ya NDOA yenu ni lini vile?
 
Big up Nape,naona umewafundisha kazi hawa vijana wadogo kwenye siasa,naomba watambue kua siasa sio mchezo wa kukurupuka,kwanza inabidi Chadema wauambie Umma fedha hizo wamepata wapi wanazotumia kuzunguka kwa helikopta nchi nzima,ni nani anaewatumilia ili watoe maoni waliyotumwa na bwana wao.

Hawa Chadema ndio vibaraka aliowaona Mugabe,western Puppets.

Baada ya single ya Ugaidi kuchuja sasa mmebuni mbinu mpya kwa kukopi kwa Mugabe kwamba CHADEMA ni vibaraka wa nchi za Magharibi. Heri kuwa kibaraka wa nchi za Magharibi zinazotupa misaada kuliko kuwa mmojawapo wa wauaji na mafisadi wa CCM.

Tiba
 
Nape hii ndiyo maana ya demokrasia waache wapite kwa wananchi roho inakuhuma, huoni watu wanajaa kwani wamelazimishwa? kuwa na siafa safi naona unamuiga mwigulu mungu anawaona
 
'KURUKA RUKA KWA MAHARAGE NDIO KUIVA KWAKE'ccm mtaondoka tu madarakani hata ingekuwa vipi.Mlianza na kuipakazia Chadema kuwa ni ya kidini/ya kikabila/ya kikanda/Ya kigaidi na sasa mnaiita ni ya kihuni na wewe umepigilia msumari kwa kuiita shetani!!!!!.

Mkuu mimi nadhani watu wanasahau kuwa utungaji wa katiba ni mchakato. Process. Matumizi ya helcopter yanakosa gani endapo mwishowe cdm wanaenda kukaa kama taasis ku-consolidate comments kutoka mikutano waliyoendesha? Hapa wabezaji wanachosahau ni kwamba cdm inapiga ndege wawili kwa jiwe moja. Inatoa elimu ya uraia, inakusanya maoni na pengine ina-widen understanding miongoni mwa wananchi kuhusu cdm yenyewe. Hii janja cdm wameitumia, nilidhani badala ya ccm kuibeza wangeiga na kuanza nao (pengine too late) >>>>na pengine kama wao wakienda watapigwa mawe, kwa kuwa wamekwisha toa mapendekezo tayari, japo wengi wanahoji what was the process ya kupata yale mapendekezo ya ccm?
 
Naihurumia CCM kwa ilipofikia sasa! Maana imekosa hata watu wakuizika vyema!,Yani ccm ile yakutukomboa walalahoi ndo hii waliyojimilikisha wahuni hawa na kuizika wima hivi!? Duuh inatia ushungu sana!. R.I.P ccm japo waungwana tulikupenda ila wahuni wamekupenda zaidi.
 
"Jamani wana CCM wenzangu msiwe na akili za samaki" by Amani Karume (2012)
 
NAPE AWAPONDA CHADEMA
>.Asema ni vibaraka waliobobea.
>.Adai wanawapotezea watu muda mikutano ya Katiba
>. Ajivunia utaratibu uliotumiwa na CCM
>. Adai wanachofanya Chadema ni uhuni
>. Ampongeza Warioba kukataa maoni ya helkopta

Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi Ndg. Nape Nnauye amewaponda Chadema na utaratibu wanaotumia kukusanya maoni ya wananchi juu ya rasimu ya kwanza ya katiba kuwa ni uhuni na kuwapotezea watu muda.

Nape akizungumza na waandishi wa habari mjini Dodoma alipokuwa akielezea ratiba ya vikao vya CCM vya kitaifa alisema,"sisi tunakutana kupitia maoni ya wanaCCM waliotoa maoni yao juu ya rasimu ya kwanza ya katiba, lakini wakati sisi tunafanya hivyo watani zetu wameamua kuwapotezea muda wananchi kwa kufanya uhuni wa mikutano ya hadhara huku wakijua kuwa ni kinyume na sheria inayoongoza mijadala ya rasimu hiyo ya katiba"alisisitiza Nape.

Lakini Nape pia alimpongeza mwenyekiti wa Tume ya mabadiliko ya katiba nchini Jaji Warioba kufuatia kauli yake kuwa atapokea maoni ya taasisi sio ya helkopta.
"Jaji warioba kawatendea haki hawa watani, sheria inataka taasisi ikae kama baraza sio ikafanye mikutano ya hadhara.Kasema sawa sawa, hawatapokea maoni ya helkopta ila ya taasisi sasa sio busara hawa jamaa kuendelea kupoteza muda wa watu".
"Lakini najua wataendelea tu kwasababu inabidi watoe hesabu ya pesa walizopewa kwa kazi hii.Watafanyaje sasa zaidi ya kuruka na chopa ili wakidhi matakwa ya waliowatuma,ndo tabu ya vibaraka!"alisisitiza Nape.

Kuhusu vikao alisema sekretariete ya CCM imekutana kwa siku tatu mjini Dodoma kuandaa kamati kuu inayokutana kesho na Halmashauri kuu inayokutana tarehe 24 -25/08/2013.

kwa upande wangu naona Nape hakumuelewa Warioba, warioba amesema hapokei maoni ya helikopa bali ya taasisi. naona nimsaidie Nape kumwelewa huyu Mhe. Warioba, kwanza helikopta haitoi maoni bali ni watu. pili CDM ni taasisi ambayo ina haki ya kuwasilisha maoni yake kwa TUME, CDM yenyewe imeona vema iwashirikishe wananchi katika kutoa maoni yake. ina maana wakishapata maoni ya wananchi watachanganya na yao kisha wataandika maoni yao kama CDM ambayo ni Taasisi ndipo watawasilisha kwa Warioba.

watu mlio karibu naye Nape mpatieni ujumbe huu na mshaurini asikurupuke awe anauliza vizuri na kuelewa tafsiri kwani anatuabisha vijana ambao tunatarajia awe mfano wa kauli thabiti na za ukweli
 
Nlichokigundua hku jf,ikiwa post ya. Ccm,watu wa cdm hujtokeza kudis,na hvo ikiwa wa cdm,ccm hujtokeza kudis na kuondoa taswira ya mahala husika,stokuwa napoteza muda soma post za kihun kama hz watu mnaacha ongelea fact unawaza kudiss tu,buuuu@all
 
hembu tukaechini tuulizane hapa ni nani anaeuza rasilimali zetu kusafirisha twiga wazima meno ya tembo kama si serikali ya CCM Magamba vibaraka wakubwa wa kina bush na obama na wachina kama sio vibaraka walete mikataba 17waliosaini na china.
 
Back
Top Bottom